Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Ipo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu πKumbe kwenye game wameiweka Tanzania na hatuambiani wakuuView attachment 3394939View attachment 3394940View attachment 3394941
Yani ni kitukoπIpo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu π
Yaani Batigoal avae jezi ya Taifa Stars, sitaki kumvunjia heshima kiasi hicho π
IPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuuπππDah nilikua sijui
Jamaa timu kaita Gari la PointKumbe kwenye game wameiweka Tanzania na hatuambiani wakuuView attachment 3394939View attachment 3394940View attachment 3394941
Hata me sina mpango kabisa wa kutumia hizo jersey π¬Ipo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu π
Yaani Batigoal avae jezi ya Taifa Stars, sitaki kumvunjia heshima kiasi hicho π
Gari la pwenti Dakk ya 30 kala tatu aka πββοΈ πββοΈ πββοΈ πJamaa timu kaita Gari la Point
Ubaya ubwelaView attachment 3395066View attachment 3395062View attachment 3395060
Unajua ukiwa na team kubwa unaamini hautakiwi kufungwa,
Jamaa baada ya kufungwa hakaamua asusie match na me nikaamu nisusie kucheza
Konami wakaona isiwe shidaπ
Me 16 na kuna moja bado ipo sijakamilishaππView attachment 3395186
Wakuu mmefikisha chance ngapi? Hapa naona kabisa naenda kuambulia patupu
Selikavu its your time now to get this big timeπ¬
Sana tu πYani ni kitukoπ
Utafungwa mpaka uikimbie πIPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuuπππ
π€£π€£π€£π€£Likaona ya nini kufia RoomGari la pwenti Dakk ya 30 kala tatu aka πββοΈ πββοΈ πββοΈ π
Utafungwa mpaka uikimbie πIPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuuπππ
Sijui walifikiria nini kuweka hii timu πHata me sina mpango kabisa wa kutumia hizo jersey π¬
Kuna watu wamejaza wafu aisee πView attachment 3395066View attachment 3395062View attachment 3395060
Unajua ukiwa na team kubwa unaamini hautakiwi kufungwa,
Jamaa baada ya kufungwa hakaamua asusie match na me nikaamu nisusie kucheza
Konami wakaona isiwe shidaπ
Aah nikaona Benfica yangu hata hatupo wengi π basiUtafungwa mpaka uikimbie π
Mpaka unaogopaKuna watu wamejaza wafu aisee π
Hivi zinatakiwa ziwe ngapi kwanza?View attachment 3395186
Wakuu mmefikisha chance ngapi? Hapa naona kabisa naenda kuambulia patupu
Selikavu its your time now to get this big timeπ¬
Zinafika 20 kama sijakoseaHivi zinatakiwa ziwe ngapi kwana?