eFootball Special Thread

Sema hapo disadvantage mara nyingi wale naturally CB hawanaga stamina ya kutosha kwahiyo ukimuweka upande Lb na Rb na CB yale atachoka mapema dakika ya 60 unakuta stamina Low
Wahuni wana hack adi e football ,kama dsl tulikua tuna jaza coins ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Ivi Unafungwaje na kikosi ina Etoo ndani na Suarez wa 107 useless kabisa...
Kuna jamas nilikutana nae ana Messi blitz curl nikasema hapa nitakula nyingi nikamuwekea man marking ๐Ÿ˜‚ ila alipata goli 1 huyohuyo Messi.

Mwingine nae ndo nilimuona mjinga yaani dvn halafu anataka kumjaribu Yamal blitz curl nikaona isiwe tabu nikamuekea man markin nae, mechi ikaisha nyau nyau ๐Ÿ˜‚
 
Kuna ndugu yangu nilikuwa nacheza nae game ila namba yake sikuwa nayo, alinipiga game 3 mfululizo.

Nilikuwa nimehotspot kufanya transition kwangu ilikuwa slow ila kwenye game jamaa yuko vizuri.

Moja kati ya mechi mbili za mwisho akaandika jina la team Razorblade mtumie Batistuta, ikabidi nifanyie kazi ujumbe japo hii mechi pia alinifunga ila Batigoal alizama wavuni.

Mechi ya mwisho akabadirisha tena jina akaandika Hii ya mwisho nikaona hii fedheha sasa mechi zote nifungwe ๐Ÿ˜‚

Bahati haikuwa upande wake nikampiga 5-2, Batigoal akipiga 3 peke yake ๐Ÿ˜‚

NB: Smart assist jamaa anajua kuitumia maana nilikuwa nafungwa magoli hadi huruma ๐Ÿ˜‚
 
Ila Smart assist inakua ngumu ku intercept maana wewe unakua una kaba kichwa kichwa uku yeye inaenda tu ๐Ÿ˜น
 
What a wastage ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ila Smart assist inakua ngumu ku intercept maana wewe unakua una kaba kichwa kichwa uku yeye inaenda tu ๐Ÿ˜น
Mtu anatumia smart assist halafu mie nyuma kuna back 3 na mbele kuna 3 strikers, ilikuwa piga nikupige ila alinizidi kwa sababu ya hostspot na smart assist ๐Ÿ˜‚
 
What a wastage ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Huyu jamaa wa pili ndo alinitia hasira sana yani yeye akipata mpira tu anampasia Yamal hatakama akiwa katikati atafanya dribling mpaka karibia na box ๐Ÿ˜‚

Kafanya hiyo michezo mwisho nikashindwa kumvumulia nikamuwekea ultra defensive na man marking ๐Ÿ˜‚
 
Ultra Defensive na Man marking unataka afungaje sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ultra Defensive na Man marking unataka afungaje sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Jamaa alileta dharau sana sijui kwakuwa aliona kikosi kidogo, ujasiri wa kufanya dribling karibu nusu nzima ya uwanja ni dharau kubwa ๐Ÿ˜‚

Sikusubiri hata half time, majaribio yake akafanyie kwa wengine ๐Ÿ˜‚
 
Jamaa alileta dharau sana sijui kwakuwa aliona kikosi kidogo, ujasiri wa kufanya dribling karibu nusu nzima ya uwanja ni dharau kubwa ๐Ÿ˜‚

Sikusubiri hata half time, majaribio yake akafanyie kwa wengine ๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Ulikata unyonge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ