eFootball Special Thread

Kwenye CF cikuona niliona sehemu yangu pendwa tuu ya CB


Nilienda kujaribu tena maana haijawai kubali๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnikahisi labda wameleta hii
Master Anceloti ukaona mabeki tu ๐Ÿ˜€

CB wa 4 haikubali. Halafu KONAMI wakigundua umeweka 4 CB na 3CF unakula ban
 
Master Anceloti ukaona mabeki tu ๐Ÿ˜€

CB wa 4 haikubali. Halafu KONAMI wakigundua umeweka 4 CB na 3CF unakula ban
Mfumo wangu unahitaji striker wawili tuu kuna kipind nilijaribu kucheza na watatu nokashindwa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ



Sasa mpaka wajue si umekuwa reported๐Ÿ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ