eFootball Special Thread

Solution ni kuwapelekea moto mimi nimewafunga mara moja tu.

Kaa na mali shambulia kwa mipango. Lakini pia press kwa timing kwenye mipira 50/50 tu muda mwingine tumia match up. Usiwape chance kabisa ya kupiga shuti goliniView attachment 3387053.
Mkuu sijui akili yangu inakuwa wapi maana karibia mara zote walizonifunga ni wanafanya comeback.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒSasa me nataka hawa hawa ndo nitatumia

Wachezaji ambao wana speed plus Stamina ya kutosha na physical contact ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Ila we fala unajua kuvizia kah๐Ÿ˜ƒ. Mechi yote mtu anacheza amebana mbupu anaogopa counter๐Ÿ˜ƒ. Next time inabidi nisicheze na winga maana beki zako hazipandi kabisa mbele๐Ÿ˜ƒ
 
Ila we fala unajua kuvizia kah๐Ÿ˜ƒ. Mechi yote mtu anacheza amebana mbupu anaogopa counter๐Ÿ˜ƒ. Next time inabidi nisicheze na winga maana beki zako hazipandi kabisa mnele๐Ÿ˜ƒ
Na pale nina kocha wa Possession Game Luis Roman sichezi Quick counter kule๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Beki nilipata Wan Bissaka ni Defensive ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ yule Lorenzo namchezesha CB kule pemben kwahiyo kupanda hapo sio leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ