eFootball Special Thread

eFootball nimewahi download na kulifuta mara 2 na nilikua nimeanza kulicheza kabisa ila kila muda likawa linanitaka nifollow tutorial na kudownload missing files nikaona halina utofauti na call of duty tu nikaachana nalo.
 
eFootball linasave sana data. Buku tatu unamaliza kila kitu.

Call of duty sijuhi PUGB sitaki hata kuyasikia yanafika gb 30😬
 
hahaha mimi niliwafunga mkuu....nilibadilisha formation mara 3..

Ukifunga rudi back 5 ....nafikiri pia Oliver Khan anawaokoa sana maana nimekosa clear chance 4 nikabahatisha 1 ndo nikapita nayo....
Huyo kipa ndo kikwazo kikubwa aisee.
 
Nilikuwa nacheza nipo kwenye hiace nalud home nikawafunga top player bila shida, wakaja Superstar nikwafunga legends wakanigonga hamsa nikasema okay acha kwanza nifike home kichwa umetulia ndo nitacheza nao
Kipengele kipo kwenye legends hiyo top player na superstar zote niliweka AI controlled.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…