eFootball Special Thread

Leo saa nne usiku nitakuwa na Darasa la kuwafunga Legends 🤣🤣 Razorblade usikose nitakuwa mubashara muda huo nikupe maujuzi😃😃

Kikosi dakika 90 zote formation moja
Achaneni na coin zangu🤣🤣🤣angalien Badge



Sema siri ni kukaba mzee hasa Beckham na Roberto Carlos wasipige cross wala kukupita
 
Leteni mbinu ya kuwafunga hawa jamaa kwenye level ya ligend maana imekuwa janga kwangu 😂
View attachment 3386572
Solution ni kuwapelekea moto mimi nimewafunga mara moja tu.

Kaa na mali shambulia kwa mipango. Lakini pia press kwa timing kwenye mipira 50/50 tu muda mwingine tumia match up. Usiwape chance kabisa ya kupiga shuti golini.
 
Yaliyotokea leo Room moja niliyoingia....


Kikosi changu pendwa kwa sasa😃

Kikosi cha jamaa

Matokeo

Na ilibaki kdg nifungwe la Kumi Kayoko akasema inatosha 🤣🤣🤣🤣

Huyu Etoo mna uhakika anakabika??


Baadae naenda tena na jamaa kwa kikosi hiki hiki nitaleta mrejesho😃😃
 
Mkuu katika watu tunacheza defensive humu ndani na mimi nipo sifunguki 😃😃😃hicho kikosi nilizidiwa kila sehemu😃😃😃
Pole mkuu .... Kuna wana wanajiweza sana ...hahahaha Kuna yule alinifunga 4 nikimisplace pass na golikipa hafungi anaanza build up kwa kurudisha mpira nyuma hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…