eFootball Special Thread

Oya wakuu nimesahau kupiga fake shoot bhana njooni mnikumbushe πŸ˜‚
Pole....


Ukipiga shoot si unapiga na Direction....

Sasa ukipiga wakati inajijaza chap unabilisha direction unapeleka upande ambao unataka afinyie
 
Leteni mbinu ya kuwafunga hawa jamaa kwenye level ya ligend maana imekuwa janga kwangu πŸ˜‚
View attachment 3386572
hahaha mimi niliwafunga mkuu....nilibadilisha formation mara 3..

Ukifunga rudi back 5 ....nafikiri pia Oliver Khan anawaokoa sana maana nimekosa clear chance 4 nikabahatisha 1 ndo nikapita nayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…