Aaah booster wanawekewa wachezaji baadhi sio wote na akiwashawekewa tuu inamuongezea stats kama Speed , finishing, defensive engagement inategemeana na booster yenyewe kwa timu yako messi nadhan ndo anatakiwa booster sijaangalua kikosi chako mudaMkuu itabidi nirudi pvp tu .hahahaa....Kuna two option ya Kona nawabondaa sana....
Naomba msaada booster natumiaje?
Asante sana mkuu.... Kimebadilika sanaAaah booster wanawekewa wachezaji baadhi sio wote na akiwashawekewa tuu inamuongezea stats kama Speed , finishing, defensive engagement inategemeana na booster yenyewe kwa timu yako messi nadhan ndo anatakiwa booster sijaangalua kikosi chako muda
umejitaid kakaAsante sana mkuu.... Kimebadilika sana
Nalifanyia kazi mkuu muda huu fusion ihusike.umejitaid kaka
Inabid hizo experience za Akanji zihamie kwa Timber
Tafuta kocha kwanza wa maana....Nalifanyia kazi mkuu muda huu fusion ihusike.
Sina striker nahangaika kupata sana magoli...japo osimhen anajitahidi...
Natunza coin utanishauri Striker mzuri
hahaha coin zpo za mawazo ila Nina arteta na Flick kwa kuanzia mkuu .Tafuta kocha kwanza wa maana....
Wale ndo wazuri...hahaha coin zpo za mawazo ila Nina arteta na Flick kwa kuanzia mkuu .
Au wale wa coin ndo wapo good? Cruyff?
Nashukuru sana mkuu...yes nilishangaa hawakui....Asante sana...nimeenda tafuta kocha mzuri tayariWale ndo wazuri...
Ili wachezaji wafike full potential yao inabid uwe na kocha ambaye play style yake inaanzia 85 and above happ mbappe atafika 101 ,, Osimhen 98, messi 101 na wengine wote watafika zile limit zao wakishamaliza training
Unapenda possession game😃😃Nashukuru sana mkuu...yes nilishangaa hawakui....Asante sana...nimeenda tafuta kocha mzuri tayari
hahaha mkuu nacheza Haram ball....huyu kocha nimeona ana afadhar sana....nacheza long ball ....Unapenda possession game😃😃
Aah basi ushachukua wa Long Ball yupo palehahaha mkuu nacheza Haram ball....huyu kocha nimeona ana afadhar sana....nacheza long ball ....
Mzuri nae ana momentum dribbling itabid doue ashuke CMF sasa au ucheze na AMF wawiliJana nime spend ×900 lengo nimpate pedri nikaishiwa kupewa raphinaView attachment 3385393 View attachment 3385391
Nawatafutia mfumo wa kukaa wote .maana wote ni hole prayer na me naitaji hole mmoja tuMzuri nae ana momentum dribbling itabid doue ashuke CMF sasa au ucheze na AMF wawili
4222 kama wanguNawatafutia mfumo wa kukaa wote .maana wote ni hole prayer na me naitaji hole mmoja tuView attachment 3385612View attachment 3385610
Leta username yako mkuu nikuadd twendeYeyote atume code minimfate tukiwashe
Weekend ndo hii