eFootball Special Thread

Wakuu habari za siku polen na Majukumu...

Ni muda sijaja kwenye huu uzi nipate madini

Kwanza kikosi kimefikia hapa

Nilikuwa napenda sana kucheza my league ile ya AI... Nilikuwa nataka niweze kuwafunga legends na nichukue league ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Jana nikasema nije nianze kucheza kwenye division Mungu saidia nikakutana sijui na vibonde plus mtandao wa mtu nikafika division 3 toka division ya 9

Nimefika division ya tatu nimekula vipigo mechi tatu mfululizo tena heavy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20250401-223408.png
    898.2 KB · Views: 14
Tangu konami wale hela yangu alafu wananipa wachezaji hawaeleweki. Nimeapa sitokuja kununua coins nitabaki kuwa free to play. Haya mambo yanaitaji uwe mfukoni vizuri sio hela ya mawazo
Kweli mkuu, hela za mawazo labda ununulie pack.
Kilichobaki ni kucheza events na kutunza coins.
 
Tuoneshe na sub players.
Kuhusu vichapo huo ni mwanzo tu.๐Ÿ˜‚
 
Humu siku hizi wananyuka haswaa..hyo level ya legend naiogopa sana
 
We jamaa una balaa ๐Ÿ˜€ unacheza formation la kibabe meta 4222 quick counter nakuzoom upo division 3๐Ÿ™Œ
 
Simu yangu iliingia maji nimeagiza kioo aliexpress kikifika tutaanza kupasha na wadau. Naona vikosi vya wadau vinaanza kushiba.
 
Tuoneshe na sub players.
Kuhusu vichapo huo ni mwanzo tu.๐Ÿ˜‚


Kuna kufungwa ile unasema nimefungwa ila nimepiga kazi ila fungwa yangu ni majanga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwanza nilizoea smart assist nimekuja huku no smart assist nimepata shida mno kufunga

Kuna game nimetoka sina hata shot ata moja๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
We jamaa una balaa ๐Ÿ˜€ unacheza formation la kibabe meta 4222 quick counter nakuzoom upo division 3๐Ÿ™Œ
Formation ulinipa hizi mkuu

Hata midfield uliniambia namna ya kuchagua ndo maana Rice anaanzia nje maana no Box to Box Midfielder

Mwanzoni mpk nafika division ya tano nilikuwa nakutana na watu vikosi vya 2900 huko nikawa najipigia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€bada ya hapo nimekutana na 3120 plus huko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ni huzuni
 
Hapo ulipofikia patamu ukipata striker wa kucheza na Mbappe,beki nzuri build up combination na destroyer, ukapata anchor man mwenye speed aanze mbele ya Rodri utafika hadi division one. Maana formation unayocheza ni rahisi kufika division za juu.
 
Hapo ulipofikia patamu ukipata striker wa kucheza na Mbappe,beki nzuri build up combination na destroyer, ukapata anchor man mwenye speed aanze mbele ya Rodri utafika hadi division one. Maana formation unayocheza ni rahisi kufika division za juu.
Rodri wa standard huyu
 
Kaza vidole mkuu ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ