Unahamu ya kufuta game? 😂Wakuu habari za Asubuhi....
Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...😃
Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...
Atakayekua free anipe Ratiba nilete code
Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al
Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid😃😃😃View attachment 3381164
Unahamu ya kufuta game? 😂
Hii account nyingine?Wakuu habari za Asubuhi....
Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...😃
Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...
Atakayekua free anipe Ratiba nilete code
Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al
Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid😃😃😃View attachment 3381164
Ndiyo mkuuHii account nyingine?
Una account ngapi😃Ndiyo mkuu
Mbili mkuu😃😃😃ya Myunani na hii ya selikavuUna account ngapi😃
Adi usikuWakuu habari za Asubuhi....
Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...😃
Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...
Atakayekua free anipe Ratiba nilete code
Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al
Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid😃😃😃View attachment 3381164
Me nipo kamili gado simu ipo full chaji😃😃😃nangojea kufundishwa mpira mzuri😃😃😃Adi usiku
Una account ngapi😃
Nime create account ya japan jana nikaweka kwenye zile clone app , ila naona zina ma ads sanaa asee hadi nikafutaMbili mkuu😃😃😃ya Myunani na hii ya selikavu
Ads ni mwanzoni unapofungua game alafu mara moja moja sanaNime create account ya japan jana nikaweka kwenye zile clone app , ila naona zina ma ads sanaa asee
Ulidownload cloner ya hovyoNime create account ya japan jana nikaweka kwenye zile clone app , ila naona zina ma ads sanaa asee hadi nikafuta
Njoo 😂Ndiyo mkuu
Nakuchek😃😃Njoo 😂
Cloner ipi ni nzuri sasa??Ulidownload cloner ya hovyo
Mi natumia Mochi nadhani hata wewe unaitumiaCloner ipi ni nzuri sasa??
Simu yake ina ugomvi na mochi clonerMi natumia Mochi nadhani hata wewe unaitumia
Ila huyo kasema ina ads nyingi Mochi haina ads sana
Dah sema nilikuwa room na mshakaji account nyingine kaka ndo nimetoka saivNani yupo online tuguse?
Kuna simu nilikuwa nayo kuikagua nikakuta game hilo nikalifungua, mwenye simu nae ndo anaanza maana kikosi kilikuwa cha standard card toleo la mwisho 😂Dah sema nilikuwa room na mshakaji account nyingine kaka ndo nimetoka saiv