eFootball Special Thread

Sisi watengeneza account kwa wachezaji wa bure hilo siyo la kuuliza, wowote wataokuja ni kupita nao tu.
Kwa jinsi akina Constacurta na Cafu wananvyonikaba nipo mbion kununua account 🤣🤣🤣ambayo itakuwa na hawa jamaa
 
😃😃😃Unamtoaje Pedrinho Gonzalez😂😂😂mimi ukitaka kuniweza mkabe pedri hapo ujanja wote mfukoni😃😃😃


Sema huyo jamaa sema Zairy Emery anakaba mzee hapo kati pamekaa njema😃box to box wawili kati kati ni Uuwaji... Nilikuwa nacheza na Pedri pamoja na Rice zaman😃ilikuwa unyama sana

Kuna alhamic moja wakaleta update Rice form Yake ikasoma D nikamtoa baada ya hapo sijawai waludisha tena kucheza pamoja


Saa nne kama kawaida mkuu au muda wowote me nipo tuu
 
😹😹pedri ana kichafua sana ,tatizo kwangu aja kizi mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…