Ile nitaipata nikiwa na kikosi cha 3250ππHii hapana ππ.. ila huwa natamani sana siku nikaze nipate ile badge ya top 100 au 1000 nitatisha sana mambanga π
Kama kweli, mana nakutana Nigerians sanaKwenye Region yetu nadhani Division bado hamjaenda wengiππ
Mpaka ufike 3250 watu wapo 3400 wamepowa π π€£Ile nitaipata nikiwa na kikosi cha 3250ππ
Kule division ni pila objective tuu kama Robertinho ππMi sikuizi nikicheza friendly Possession ndo inanifaa ila kule efb league naona bila QC sitoboi
Kuna siku nikamuambia nitapiga sub moja dakika ya 70 akasema hakuna weka AutoπππMMOJA MWENYEW MTANDAO MZURI ASIEBADIL WAPIGA KONA WALA KUSTOPISHA GAME ATUME CODE DM TWENDE FRIEND
Ngoja week ijayo nikaanze kuponda mbuzi za division 8 huko maana sikucheza kabisa division msimu ulioishaππNdio. Naona saivi kama ulishawahi kufika div 1 lazima uanzie div 3View attachment 3368610
Haha, inaonesha huwa hataki usumbufu ni kucheza tu.Kuna siku nikamuambia nitapiga sub moja dakika ya 70 akasema hakuna weka Autoπππ
Alafu Nigerians ni kama hawajui gameππau me ndo nakutana na vibondeπKama kweli, mana nakutana Nigerians sana
Kuna mtu anazidi 3300 kwanπππMpaka ufike 3250 watu wapo 3400 wamepowa π π€£
Sidhani kama utaanzia division 8, utakuwa pale 5/6Ngoja week ijayo nikaanze kuponda mbuzi za division 8 huko maana sikucheza kabisa division msimu ulioishaππ
Anakuambia pause anayo ijua yeye ni ya konami tuu πππHaha, inaonesha huwa hataki usumbufu ni kucheza tu.
Nawabonda kishenz wengine wanaweka no zao za simu, namfunga afu namtumia whatsapp na maneno ya kejeli πAlafu Nigerians ni kama hawajui gameππau me ndo nakutana na vibondeπ
Nitachek nione waliponipelekaSidhani kama utaanzia division 8, utakuwa pale 5/6
Nilikuwa napenda hiyo ya kuwatafuta Wakati nipo na Dls saivi nimekuwa mstaarabu mnoNawabonda kishenz wengine wanaweka no zao za simu, namfunga afu namtumia whatsapp na maneno ya kejeli π
Watafikia huko saivi. Haujaona kule kwa Zico kuna mtu ana 3280+ na hapo kuna wachezaji wapo reserve wana 105-6.Kuna mtu anazidi 3300 kwanπππ
Haha, mtu alieweka no akinifunga huwa natamani nimfate nimtukane ila nakaza π€£Nilikuwa napenda hiyo ya kuwatafuta Wakati nipo na Dls saivi nimekuwa mstaarabu mno
KumbeπKama ulifika Division one mmeanzia 3 woteππ
Nataka nijaribu tu kwanza kama kuunganisha nitatumia Google ID(Google Play Games).Hapana kubadilisha hauwezi ndo moja kwa moja hiyo...
Na haiitaji VPN ππsema ujue kubadilisha lugha chrome unavyologin kuunganisha na konami Idππmaana watakuletea kijapan
Kazi kwenu muuane div 4 mechi 10 za moto πKama ulifika Division one mmeanzia 3 woteππ
Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha πKaka, kila nikiingia kwenye kusachi mechi mi nipo div 2 ila naletewa watu wa div 3 mpaka raha najichapia tu π sijui KONAMI wameamua kuniachia uhuru