Anzisha uzi utawapata..Me natafuta wacheza 8 pool ball
UmemnyanyasaNimembonda hadi aka quit
Bila a3 huwezi elewaππ€£Umeanza vitu vya maghayo kakaππ
Ma jobless pro max kwenye Moja na 2Anzisha uzi utawapata..
A 3 nina ya bible knowledge, nutrition and sportsπππβBila a3 huwezi elewaππ€£
Mkuu Asante ushauri wa event imenisaidia sana....imagine nilikuwa sijui kuspeed na kukaba kabisa....wala crossing sasa kupitia event nimejua hivi vitu ....Umemnyanyasa
Unavyozidi kucheza ndivyo unavyojua zaidMkuu Asante ushauri wa event imenisaidia sana....imagine nilikuwa sijui kuspeed na kukaba kabisa....wala crossing sasa kupitia event nimejua hivi vitu ....
KwakweliAnzisha uzi utawapata..
Kijana hawa kina Selikavu, adriz Edo kissy na Razorblade sio watu wa kuwashukuru, maana wata kufanya uwe chizi game.Mkuu Asante ushauri wa event imenisaidia sana....imagine nilikuwa sijui kuspeed na kukaba kabisa....wala crossing sasa kupitia event nimejua hivi vitu ....
Huyu ni noob bila hata kuuliza πKuna muda ubunifu huleta dhahama....Kuna huyu jamaa alitumia hii formation aiseh nilimnyoosha 5 first half... second half hakurudi tena
Nikiitaka nitakutafuta πSio mashabiki tuu hata commentary hakunaπ
Dah πKijana hawa kina Selikavu, adriz Edo kissy na Razorblade sio watu wa kuwashukuru, maana wata kufanya uwe chizi game.
Hapo bado huja wajua, hawalalagi haoππ€£
Asante nazidi kuivaUnavyozidi kucheza ndivyo unavyojua zaid
hahahaha mkuu likizo hii lazima niitumie vyema.... ikiisha maboss wetu vichwa maji tutajisetKijana hawa kina Selikavu, adriz Edo kissy na Razorblade sio watu wa kuwashukuru, maana wata kufanya uwe chizi game.
Hapo bado huja wajua, hawalalagi haoππ€£
hahaha naimani hatarudia formation hizo...Huyu ni noob bila hata kuuliza π
Mbona wewe unajitoa kama unalala vile kakaππKijana hawa kina Selikavu, adriz Edo kissy na Razorblade sio watu wa kuwashukuru, maana wata kufanya uwe chizi game.
Hapo bado huja wajua, hawalalagi haoππ€£
Me naenjoy tuuπππNikiitaka nitakutafuta π
Sijawai cheza LBC hii ni ya Razorblade, Edo kissy na Neganhahaha naimani hatarudia formation hizo...
Naona LCB ipo poa sana
Huyo jau tu huwezi weka formation ambayo inaacha nafasi kubwa baina ya wachezaji kiasi hicho.hahaha naimani hatarudia formation hizo...
Naona LCB ipo poa sana
Burudika πMe naenjoy tuuπππ