Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,161 Gilberto_ said: Ila update ya playstore tayari, tusubirie ya kwenye game tu.View attachment 3365451 Click to expand... Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chenga
Gilberto_ said: Ila update ya playstore tayari, tusubirie ya kwenye game tu.View attachment 3365451 Click to expand... Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chenga
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Jun 12, 2025 #5,162 Selikavu said: Kheeh 😃😃sasa me nitafanya nini mpka hiyo saa saba😃🙌 Click to expand... Majobless 😂
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Jun 12, 2025 #5,163 Selikavu said: Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chenga Click to expand... Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.
Selikavu said: Asee bora niinstal kabisa😃maana ninakoenda network chenga Click to expand... Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,164 Gilberto_ said: Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore. Click to expand... Tayali kaka
Gilberto_ said: Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore. Click to expand... Tayali kaka
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,165 Gilberto_ said: Majobless 😂 Click to expand... Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃
Gilberto_ said: Majobless 😂 Click to expand... Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Jun 12, 2025 #5,166 Selikavu said: Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃 Click to expand... 😂 ushakuwa mlevi wa game
Selikavu said: Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya😃😃 Click to expand... 😂 ushakuwa mlevi wa game
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,167 Gilberto_ said: 😂 ushakuwa mlevi wa game Click to expand... Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado
Gilberto_ said: 😂 ushakuwa mlevi wa game Click to expand... Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado
Mill broh JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 346 Reaction score 816 Jun 12, 2025 #5,168 Selikavu said: Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado Click to expand... eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀
Selikavu said: Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado Click to expand... eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,169 Mill broh said: eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀 Click to expand... Nikishapata kikosi nitapunguza
Mill broh said: eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu😀 Click to expand... Nikishapata kikosi nitapunguza
Mill broh JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 346 Reaction score 816 Jun 12, 2025 #5,170 Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo😃 Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa😀
Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo😃 Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa😀
Mill broh JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 346 Reaction score 816 Jun 12, 2025 #5,171 Selikavu said: Nikishapata kikosi nitapunguza Click to expand... Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃
Selikavu said: Nikishapata kikosi nitapunguza Click to expand... Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,172 Mill broh said: Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo😃 Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa😀 Click to expand... Ukikutana na vipigo vya mbwa koko unalud kutulia zako😃😃
Mill broh said: Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo😃 Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa😀 Click to expand... Ukikutana na vipigo vya mbwa koko unalud kutulia zako😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,173 Mill broh said: Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃 Click to expand... Nashinda idle sana siku hizi kwahiyo ni games tuu siku nzima
Mill broh said: Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game😃 Click to expand... Nashinda idle sana siku hizi kwahiyo ni games tuu siku nzima
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 12, 2025 #5,174 Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,175 Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Hutaki tena makosa ya kwa Bastoni😃😃
Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Hutaki tena makosa ya kwa Bastoni😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,176 Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Sijui ni Destroyer ila kutokana na hiyo skills hapo atakuwa ni Build up tuu
Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Sijui ni Destroyer ila kutokana na hiyo skills hapo atakuwa ni Build up tuu
NEGAN JF-Expert Member Joined May 12, 2023 Posts 1,764 Reaction score 4,272 Jun 12, 2025 #5,177 Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Hawa bi wa bure? Sija login bado
Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Hawa bi wa bure? Sija login bado
NEGAN JF-Expert Member Joined May 12, 2023 Posts 1,764 Reaction score 4,272 Jun 12, 2025 #5,178 Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing 😀
Razorblade said: Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB. View attachment 3365605 Click to expand... Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing 😀
Mill broh JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 346 Reaction score 816 Jun 12, 2025 #5,179 Cavani
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,291 Jun 12, 2025 #5,180 NEGAN said: Hawa bi wa bure? Sija login bado Click to expand... Ndiyo