Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Badae naomba friend match kaka nijipime....ila jua nikikufunga hapa hapatakalika hahahahaha😂😂mkuu dvn huwa nacheza kuboresha skills ila sio kukomaa nipande maana sessions ikiisha unarudishwa uliko anzia na mala zote huwa simalizi sessions.
😂Amna hiyo😃😃😃 choma coins hizo
Tawire 😂Kwenye ndoto inawezekana😅
Sana mkuu 😂😅😅account za e football ni deal kumbe
Nani kasema wewe ndo kibonde humu 😃😃😃😅😅account za e football ni deal kumbe
Ili uwe mzoefu zaidi inabidi umfunge kibonde wa umu kwanza ,tupande badae😂😂
😅😅mkuu umenifunga match 3 mfululizo nazaniNani kasema wewe ndo kibonde humu 😃😃😃
Mkuu leo saa nne tupandeTotitiiiiiiii oooooh🔥😂
😹😹amna ku abandon match mkuu , habari za nili pigiwa simu zisiwepoBadae naomba friend match kaka nijipime....ila jua nikikufunga hapa hapatakalika hahahahaha
Bado haimaanishi ni kibonde😃😃😃😅😅mkuu umenifunga match 3 mfululizo nazani
Ausio😅Mkuu leo saa nne tupande
Saa nne na. Nusu nitakuwa nimetuli kabisaAusio😅
Huyo utamkuta Online 😃😃😃maana me kila nikiingia Namkuta yupo pale kwenye league
Mkuu mimi sikatishi game kabisa....nimelamba 5 kwa mtu fulani sijakatisha kabisha😹😹amna ku abandon match mkuu , habari za nili pigiwa simu zisiwepo
Yupo offline😹Huyo utamkuta Online 😃😃😃maana me kila nikiingia Namkuta yupo pale kwenye league
Tupande mkuu,ingia nku inviteMkuu mimi sikatishi game kabisa....nimelamba 5 kwa mtu fulani sijakatisha kabisha
Ameshakuja😃Yupo offline😹
Mkuu ngoja nmepiga event muda huu jasho jingi kumbe nako kwamoto na kuzuri sanaHuyo utamkuta Online 😃😃😃maana me kila nikiingia Namkuta yupo pale kwenye league