eFootball Special Thread

Pole sana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Jamaa sijui alikuwa na akili gani yule mpuuzi, kulikuwa na Villa wa 104 mule alikuwa hatari sana halafu kocha Gerald wa 500 coins ๐Ÿ˜‚

Kama ingekuwepo mpaka sasa huenda Strength ingekuwa inasoma 3150+ maana ilipotea ikiwa na 3112.
 
Alijua kabisa kama ungekuwa naye ungekuwa unanifunga kila siku ๐Ÿ”ฅ
 
Mr Devil unashindwaje kutoka hapo dvn 6 mkuu hahahahah..... Kaza vidole hivo

Mimi kibonde mtandao umewazingua jamaa hadi nimepanda....nikakomaa na event tu .japo nazo za moto
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mkuu dvn huwa nacheza kuboresha skills ila sio kukomaa nipande maana sessions ikiisha unarudishwa uliko anzia na mala zote huwa simalizi sessions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ