Hapana vile vichwa ni mwisho😃🙌kwa hali hii ni halali magoli 300+ yawe ya vichwa alafu ana mwendo mzee dah 😃😃🔥plus physical contact ndo kabisa bomba la strikerNusu ya magoli ni vichwa😀View attachment 3362489
Hapana vile vichwa ni mwisho😃🙌kwa hali hii ni halali magoli 300+ yawe ya vichwa alafu ana mwendo mzee dah 😃😃🔥plus physical contact ndo kabisa bomba la striker
Haha yule Pedri wako hashikikiMe pass kupiga siwezi kabisa🤣🤣🤣 kwahiyo ni mbele mbele yao😃😃😃
Kuna kipindi nilimpa training za vichwa tu Jumping 100, heading 100 alikuwa anaua 🤣.. na ukijumlisha ana mashuti huyo, sema yupo mapumzikoni ye na BatiGoal kwa saiviMama kumbe Nunez ana Bullet Header ndo maana nashangaa mbona vichwa ananigonga sana😃😃😃
Gilberto_ ukimpanga Nunez natoka Room 🤣🤣🤣sichezi na wewe
Kuna kipindi hapo kati hii card ilikuwa ya moto sana, kama mwezi uliopita tu. Nunez kila nikimtumia lazima atoke na mpira wake uwanjani. Sijui KONAMI hawajaamua kuiua hii card kama ya Edrick na phenomenal finishing yake lakini kibonde tu.
Ulikuwa haujui kama ni Bullet Header sio 😄 afu wewe mara nyingi cross zangu huwa unazinasa. Nakukomoa sasa naanza kukuwekea Nunez 🤣Mama kumbe Nunez ana Bullet Header ndo maana nashangaa mbona vichwa ananigonga sana😃😃😃
Gilberto_ ukimpanga Nunez natoka Room 🤣🤣🤣sichezi na wewe
Wameipunguza makali dah sema kwenye heading bado yupo vizuri akikutana na mabeki wafupi.Kuna kipindi hapo kati hii card ilikuwa ya moto sana, kama mwezi uliopita tu. Nunez kila nikimtumia lazima atoke na mpira wake uwanjani. Sijui KONAMI hawajaamua kuiua hii card kama ya Edrick na phenomenal finishing yake lakini kibonde tu.
Hahaha, akina Puyol, Lisandro Martinez...Wameipunguza makali dah sema kwenye heading bado yupo vizuri akikutana na mabeki wafupi.
KujaaHahaha, akina Puyol, Lisandro Martinez...
Tatizo inaweza kuwa simu nzito ,shusha graphicsWakuu Mimi ndo naanza bhana..
Kuna hii shida nakutana nayo....yani pass hazitoki hata niguse mara 3 wala kick, wala through ball....hii shida inaishaje...
Kuna daraja la 9 na 8 nmecheza vyema sana bila shida
25450492Mda wa kupasha, Nani yupo
Hii card ni kali mno😃😃 ningeipata mimi mzee wa counter watu wangelia sana😃
Jamaa aliomba iwe saa nne hivi atakuwepo sijui kama uliona hiyo messageIts time😁
Razorblade anamkaba kinoma yan hatembei😃😃Haha yule Pedri wako hashikiki
Leo si ulimweka wewe🤣🤣🫵Kuna kipindi nilimpa training za vichwa tu Jumping 100, heading 100 alikuwa anaua 🤣.. na ukijumlisha ana mashuti huyo, sema yupo mapumzikoni ye na BatiGoal kwa saivi
Asante mkuu....ngoja nifanyie laziTatizo inaweza kuwa simu nzito ,shusha graphics