eFootball Special Thread

Awe na ule mpira wa kuvizia kama wako 😂 yani we kidole kikikosea kutoa pasi tu pale kati unapita na huo mpira kwa kasi ya umeme 😄 🔥🙌
 
Selikavu Beki zako zimecheza cross zangu zote na kona zote leo. Nunez hajawin header hata moja😀 imekuaje au ndio "Goalkeeper dirrcting defence" au ni kazi ya Rudiger
 
Wakuu leo Saa tatu na nusu tutakuwa na mechi ya kukatana shoka kati ya Waterbender Manager wa Monaco akiwa na mchezaji wake pendwa Prince of Italy 😃😃🔥

Mechi itakuwa Zidi ya NEGAN manager wa Atletico Madrid master of Haram Football mix mpira mzuri😃😃😃akiwa na kiberenge chake pendwaa Darwin GOAT Nunez

Hii si ya kukosa😃🔥🔥🔥🔥
 
Naona serekali kupitia bodi ya michezo na wazir mwenye dhamana kusiwe na kiingilio.
 
Selikavu Beki zako zimecheza cross zangu zote na kona zote leo. Nunez hajawin header hata moja😀 imekuaje au ndio "Goalkeeper dirrcting defence" au ni kazi ya Rudiger
Hapana nina Rodri saivi pale kati kwahiyo deepline yangu inasoma Urefu 190 wote yan Baston, 190 Rudiger 190 Rodri 190 Zaman ilikuwa de jong yeye ana 180 kwahiyo vichwa ilikuwa ni kujipigia tuu😃😃😃
 
Hapana nina Rodri saivi pale kati kwahiyo deepline yangu inasoma Urefu 190 wote yan Baston, 190 Rudiger 190 Rodri 190 Zaman ilikuwa de jong yeye ana 180 kwahiyo vichwa ilikuwa ni kujipigia tuu😃😃😃
Dah nimeshangaa bullet header Nunez amebanwa kila cross😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…