Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,701 Razorblade said: Ndo hivyo sasa na huyu wanampamba sana akikosa mtu mzuri wa kumtuliza sifa zinaweza muharibu. Click to expand... Ngoja tuone muda utaongea kaka
Razorblade said: Ndo hivyo sasa na huyu wanampamba sana akikosa mtu mzuri wa kumtuliza sifa zinaweza muharibu. Click to expand... Ngoja tuone muda utaongea kaka
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,702 NEGAN said: Watu mna spi na kamzizi😀🙌 Click to expand... Ni bahati tu mkuu, nlikiwa na cion 100 nikaona nizitumie
NEGAN said: Watu mna spi na kamzizi😀🙌 Click to expand... Ni bahati tu mkuu, nlikiwa na cion 100 nikaona nizitumie
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,703 Razorblade said: Oya mbona unachomoa betri mkuu 😂 Click to expand... Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃
Razorblade said: Oya mbona unachomoa betri mkuu 😂 Click to expand... Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,704 NEGAN said: Watu mna spi na kamzizi😀🙌 Click to expand... Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata😃😃😃
NEGAN said: Watu mna spi na kamzizi😀🙌 Click to expand... Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata😃😃😃
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,705 Selikavu said: Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo🤣🔥 Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa🤣🤣🤣 Click to expand... Totti🙌🏿
Selikavu said: Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo🤣🔥 Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa🤣🤣🤣 Click to expand... Totti🙌🏿
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,706 Selikavu said: Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata😃😃😃 Click to expand... Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿
Selikavu said: Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata😃😃😃 Click to expand... Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,707 Edo kissy said: Coin 100 japo nlimtaka son😂🙌🏿View attachment 3361838 Click to expand... Mshauri Selikavu akaspin 😂
Edo kissy said: Coin 100 japo nlimtaka son😂🙌🏿View attachment 3361838 Click to expand... Mshauri Selikavu akaspin 😂
NEGAN JF-Expert Member Joined May 12, 2023 Posts 1,764 Reaction score 4,272 Jun 9, 2025 #4,708 Selikavu said: Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo🤣🔥 Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa🤣🤣🤣 Click to expand... Mwendo wa kusagia kunguni tu😀
Selikavu said: Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo🤣🔥 Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa🤣🤣🤣 Click to expand... Mwendo wa kusagia kunguni tu😀
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,709 Edo kissy said: Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿 Click to expand... Nilinunua zile za wizi kama elfu mbili hivi😃😃😃
Edo kissy said: Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿 Click to expand... Nilinunua zile za wizi kama elfu mbili hivi😃😃😃
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,710 Selikavu said: Ngoja tuone muda utaongea kaka Click to expand... Ila dogo namuelewa, atafika mbali.
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,711 Selikavu said: Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃 Click to expand... Lini pedri kanisumbua wewe wakati alikuwa anakutana na kipara Amrabat, nikimpata Kante namuweka pamoja na Rodri 😂
Selikavu said: Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃 Click to expand... Lini pedri kanisumbua wewe wakati alikuwa anakutana na kipara Amrabat, nikimpata Kante namuweka pamoja na Rodri 😂
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,712 Edo kissy said: Totti🙌🏿 Click to expand... Litakufa jitu baadae we ngojea tuu🤣🤣🤣
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,713 Edo kissy said: Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿 Click to expand... Sasa mtu anacheza game masaa 9 hawezi shindwa nunua coins 😂
Edo kissy said: Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿 Click to expand... Sasa mtu anacheza game masaa 9 hawezi shindwa nunua coins 😂
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,714 Selikavu said: Nilinunua zile za wizi kama elfu mbili hivi😃😃😃 Click to expand... Ungebeba laki hivi
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,715 Selikavu said: Litakufa jitu baadae we ngojea tuu🤣🤣🤣 Click to expand... Saa ngapinhivi
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Jun 9, 2025 #4,716 Razorblade said: Mshauri Selikavu akaspin 😂 Click to expand...
NEGAN JF-Expert Member Joined May 12, 2023 Posts 1,764 Reaction score 4,272 Jun 9, 2025 #4,717 Wakuu leo mechi ya Coop ipo?
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,718 NEGAN naona Selikavu anakuchomea utambi, sema nenda kajaribu Totti akikuelemea piga mwendo wa kasongo 😂
NEGAN naona Selikavu anakuchomea utambi, sema nenda kajaribu Totti akikuelemea piga mwendo wa kasongo 😂
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Jun 9, 2025 #4,719 NEGAN said: Wakuu leo mechi ya Coop ipo? Click to expand... Itakuwepo tu.
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Jun 9, 2025 Thread starter #4,720 Derby yangu inipe code😜