Eeh kakaBure yupi kaka, huyu wa Ufaransa?
Kwangu ni Poacher.
Haha, kumbe huwa wanatofautiana.Eeh kaka
Dah mimi ndo wako wanipe Adv striker ππ
Konami bhanaππHaha, kumbe huwa wanatofautiana.
Kuna yule Van Dijk wa bure kwangu huwa anaishia 98 kwa makocha wote niliowahi kuwa nao, ila kwa wengine huwa namuona 99 tu.
Tupashe mkuuMbona kama mimi ndo kibonde zaid umu au kwakuwa siku izi sichezi sana na lack practice π π
Me nacheza masaa 8 mpaka tisa kwa sikuπππlazima tuu nilizoee gameMbona kama mimi ndo kibonde zaid umu au kwakuwa siku izi sichezi sana na lack practice π π
Upo badoTupashe mkuu
π π uchochoro wote lazima uujueMe nacheza masaa 8 mpaka tisa kwa sikuπππlazima tuu nilizoee game
Nipo mkuuUpo bado
Username nku addNipo mkuu
heisGilbertoUsername nku add
Afu mechi ya pili ukaniwekea Terrible, nikasema huyu jamaa mbona anataka kunikomoa sijui uliwaza nini ukaenda kubadilisha ukaweka excellent πNili sahau nimekuja kushtuka game isha anza π π tukienda match kazaa takuweza
Next matches uweke dakika 10 tuenjoy πNili sahau nimekuja kushtuka game isha anza π π tukienda match kazaa takuweza
πnilkua najarbu settings apoAfu mechi ya pili ukaniwekea Terrible, nikasema huyu jamaa mbona anataka kunikomoa sijui uliwaza nini ukaenda kubadilisha ukaweka excellent π