eFootball Special Thread

Mkuu NEGAN leo fainali ya UEFA nations league saa nne usiku na mara nyingi mechi zetu humu tunaanza kucheza saa nne๐Ÿ˜ƒ tutatoboa kwel au tuangalie adjustment
 
Kuna account ya Selikavu nimefungua๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒsoon nitawaomba mniadd maana kile kikosi kina balaa natafuta coins nipate kocha maana kwa sasa kwa mfumo wangu kipo tayali asilimia kama 80 hivi
Sema konami jau sana, baada ya kupoteza account nilivyokuwa nafungua hii ya sasa kuweka Razorblade iligoma.

Kwahiyo una account 4 sasahivi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ