eFootball Special Thread

Hivi Edo kissy unajua kua nipo kwenye huu uzi since day 1 kama mchangiaji😀. Ila kama mchezaji tena mwaka jana baada ya kupata simu 😀
 
Sio mkongwe nimecheza 2018 hadi 19 mwanzoni nikaacha. Nikarudi 2021 mwishoni hadi 2022 mwanzoni waka update game simu ikawa haina uwezo nikaachana nalo. Nimerudi tena mwaka jana mwezi wa 8😀
2018 ila ni mzoefu, mimi nimeanza 2023 mwanzon ila nlikiwa nacheza mara moja sana mwaka jana ndo nipo nalo bega kwa bega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…