Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Maelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring 😂View attachment 3353723
NEGAN mkuu tusaidie maelezo mazuri hapa naona kila mtu kaelewa kivyake... Razorblade ndo kabisa hajatoka na kitu...
Hii Anchoring inafanyaje kazi??
Kazi yake mchezaji mwenye anchoring instruction ana baki kwenye position yake uwanjani hazururi kulia au kushoto ana make vertical movement tu(mbele nyuma) sio kulia kushoto.
E futhubAah shukran Mkuu🙏
Alafu ile app ambayo inakupa stats za wachezaji ni ipi kaka niinstal hapa!!??
Nyie watani wa jadi😀Maelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring 😂
Tumevunja utani kwa muda usiojulikana 😂Nyie watani wa jadi😀
Ndugu ChambuziMaelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring 😂
Huyu saiv ni kama rivalry ya Man U na Leeds 🤣🤣🤣leeds yuko zake championship huko😂😂😂Nyie watani wa jadi😀
Kaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya 😂Ndugu Chambuzi
Adams siku hizi ni foward😃😃😃ugonjwa simu umeanza kukuingia na wewe kaka🤣🤣🤣
Instructions inafanya kazi kwa fowards mzee maana lengo lake ni wakati wa kushambulia sasa tony adams anakuwa inverted Midfielder ama😂😂😂😂
Sasa wakati wa kushambulia kaka position ya Tony adams inakusaidia nini wakati anakuwa nyuma 😂😂😂humpi pass sio counter target ndo maana nikakuuliza au anakuwa inverted Midfielder 🤣🤣🤣🤣Kaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya 😂
Nenda kasome tena hiyo instruction ya Anchor.
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi 😁Kaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya 😂
Nenda kasome tena hiyo instruction ya Anchor.
Hamna kitu kama hicho 😂 hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMIBuku mbili kaka nimetumia 1600 leo nimechukua hiyo pack ya Man city wamekuja kunipa Rodri mwisho na Nimemunua Bellingham wa 800 kwa ajili ya kupata Nominating character zile za 5 nimebakiza mia nne😃😃😃nataka niende tena nikamchek jamaa anipe nyingine...
Sema nasikia konami wameanza kufungia walioiba kwa hiyo Id yangu ipo matatani😃😃
Huyo leo anakaza fuvu sijui kimemkuta nini 😂Nyie
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi 😁
Muoga huyo 😂Hamna kitu kama hicho 😂 hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMI
Tatizo la papaa wembe hataki kunitambua mimi kama pro kwenye maswala ya analysis na formation building in Konami formerly know as PES ananichukulia mimi Amrabat sijui box to box🤣🤣🤣🤣Nyie
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi 😁
Aah sawaa mkuuHamna kitu kama hicho 😂 hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMI
Mbona Negan kasema ifanya kazi wakati wa kushambulia sasa wewe umempa beki ndo najiuliza Tony adams anchoring inamsaidia nini... Wewe umempa ili asipande mbele 🤣🤣🤣🤣ukijua anakuwa Anchorman sijuiHuyo leo anakaza fuvu sijui kimemkuta nini 😂
Picha ya maelezo aliyoweka imejieleza, huenda hajui example ni nini 😂
😃Sawaa proMuoga huyo 😂
Kumbe hapa unapiga kelele tu na hata huyo NEGAN hujamuelewa, mimi kwangu inafanya kazi kama navyotaka.Mbona Negan kasema ifanya kazi wakati wa kushambulia sasa wewe umempa beki ndo najiuliza Tony adams anchoring inamsaidia nini... Wewe umempa ili asipande mbele 🤣🤣🤣🤣ukijua anakuwa Anchorman sijui
Najua ila ulikuwa unanipa moto kaka hapo muda huo simu inanizingua kwahiyo nikaona na wewe unanizingua tu 😂Haijaisha mpaka iishe😃
Eniwei nothing serious kaka
🤣🤣🤣Nishasema nipo na wewe mpaka wakuueNajua ila ulikuwa unanipa moto kaka hapo muda huo simu inanizingua kwahiyo nikaona na wewe unanizingua tu 😂