Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,943
- 12,380
Leo niache tu bado nahasira na huyu refa wa leo 😂Baada ya ile Account yangu ya kwanza kuwa ya kiwaki nimeona nianze kutengeneza kikosi cha pili leo nikaamka asubuhi nikadownload zang moch cloner nikapata app ya pili nikaanza kutengeza kikosi...
Sikutaka kufanya makosa Region nimeweka Japan si haba kwenye kuspine nikapata Bergkamp 😃😃
Hapo nangojea jumanne nimchukue na nakata kazi ianze😃😃
Razorblade 👀 Jiandae nakuja mdogo mdogo na kikosi changu kipya ... Hichi ni kikali mno utakimbia kaka
Shukran za dhati ziende kwa Guilberto amenipiga tafu kupambana na events za Pvp ili nifike kiwango kinachotakiwa👏
View attachment 3345478
Yule refa mechi zote kubwa za Wabongo yupo 😂Leo niache tu bado nahasira na huyu refa wa leo 😂
Kwani ukinitag kwa herufi ndogo siwezi ona mkuu 😂
Ile haikuwa fainali bhana ila leo ilikuwa fainali, haya mashindano tunashiriki tu ila mabingwa washaandaliwa 😂Yule refa mechi zote kubwa za Wabongo yupo 😂
Nakumbuka kipindi sisi Wanayanga tumehujumiwa goli letu mlimsifia sana mkaona kafanya la maana, leo kimewaramba na nyie 😂💔
Kwa hiyo unataka kusema card nyekundu ya kagoma haikuwa halali?Ile haikuwa fainali bhana ila leo ilikuwa fainali, haya mashindano tunashiriki tu ila mabingwa washaandaliwa 😂
Hakuna namna leo Berkane alikuwa hachomoki ila akaona aue middle yetu ili kurahisisha kazi mwehu yule 😂
Huyu refa ndo yule yule aliyechezesha ile fainali ya Shirikisho 2nd leg ya USM Alger v Yanga kule AlgeriaIle haikuwa fainali bhana ila leo ilikuwa fainali, haya mashindano tunashiriki tu ila mabingwa washaandaliwa 😂
Hakuna namna leo Berkane alikuwa hachomoki ila akaona aue middle yetu ili kurahisisha kazi mwehu yule 😂
Kiukweli refa leo alikuwa upande wa waarabu.Huyu refa ndo yule yule aliyechezesha ile fainali ya Shirikisho 2nd leg ya USM Alger v Yanga kule Algeria
Akachezesha tena Mamelodi v Yanga kule Pretoria 😵💫
Leo tena kaletwa kwa Wanasimba 😃
YAANI BADO HAMJASEMA
Halali kabisa majitu yanacheza cheza rafu kwa nini wasiadhibiwe sasa 😃Kwa hiyo unataka kusema card nyekundu ya kagoma haikuwa halali?
Walivyopata lile goli la pili nilitamani nikimbie 😆.. thanks to VAR ikafanya yakeKiukweli refa leo alikuwa upande wa waarabu.
Ila nyinyi mngeshinda leo sisi sura zetu tungeweka wapi?😅
Wapi kibanda umiza au?Walivyopata lile goli la pili nilitamani nikimbie 😆.. thanks to VAR ikafanya yake
Ndio kibanda umiza mkuuWapi kibanda umiza au?
Kwann korea kaka??Ungechagua korea mkuu.
🫵Unaweza usione🤣Leo niache tu bado nahasira na huyu refa wa leo 😂
Kwani ukinitag kwa herufi ndogo siwezi ona mkuu 😂
Unamkatisha tamaa 😄 anaweza akawaza kufungua nyingine mpya leo leo tena huyoUnapewa bure wachezaji epic wa 2 wakorea
Hivi ukitaka kumtisha opponent upige shoot unafanyaje?View attachment 3345672
Bila picha ni uongo. Ashawaona wakorea😂
Unapewa bure wachezaji epic wa 2 wakorea
Ila ya japan naona kuna coin 25 za bure huku nishapokea zangu nadhan baada ya muda wanatoa tena...View attachment 3345672
Bila picha ni uongo. Ashawaona wakorea😂
Kufinya sioHivi ukitaka kumtisha opponent upige shoot unafanyaje?