Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,067
- 95,643
Ndio nalala hapaPoa, lala basi 😂
Safi sana.Ndio nalala hapa
Kaka ndio naamka hapa, Jana mapema.Safi sana.
Niliona ikabidi nikacheze events.Kaka jana mtandao ulivogoma nikapata request kwa mwingine hata nikasahau kabisa kurudi humu 😄
Sawa kaka umejitahidi, natumai hukukuweweseka maana siyo kawaida 😂Kaka ndio naamka hapa, Jana mapema.
Kaka hata Leo nita lala kabla ya saa 6, yaani laptop nili izima mapema 😂😂Sawa kaka umejitahidi, natumai hukukuweweseka maana siyo kawaida 😂
Huenda umepata mgeni wewe 😂Kaka hata Leo nita lala kabla ya saa 6, yaani laptop nili izima mapema 😂😂
Vijana wa siku hizi hamna adabu kudadadeki 😂 😂Huenda umepata mgeni wewe 😂
Unajifanya unalala mapema kumbe umepata ugeni wa dharula 😂Vijana wa siku hizi hamna adabu kudadadeki 😂 😂
Huenda umepata mgeni wewe 😂
ComradeKenge maji weeComrade
Shekhe nime lala mapema ka samaki, sitaki tabuUnajifanya unalala mapema kumbe umepata ugeni wa dharula 😂
Mbona umefungua code mkuu 😂Comrade
Sawa, hongera kwa kupata mgeni aliyekufanya ulale mapema kama samaki.Shekhe nime lala mapema ka samaki, sitaki tabu
Pre seoson njema.Nianze pre season hivi
Ungechagua korea mkuu.Baada ya ile Account yangu ya kwanza kuwa ya kiwaki nimeona nianze kutengeneza kikosi cha pili leo nikaamka asubuhi nikadownload zang moch cloner nikapata app ya pili nikaanza kutengeza kikosi...
Sikutaka kufanya makosa Region nimeweka Japan si haba kwenye kuspine nikapata Bergkamp 😃😃
Hapo nangojea jumanne nimchukue na nakata kazi ianze😃😃
Razorblade 👀 Jiandae nakuja mdogo mdogo na kikosi changu kipya ... Hichi ni kikali mno utakimbia kaka
Shukran za dhati ziende kwa Guilberto amenipiga tafu kupambana na events za Pvp ili nifike kiwango kinachotakiwa👏
View attachment 3345478