eFootball Special Thread

Familia ila we una machungu zaidi ๐Ÿ˜‚ mi wamenipoza kwa huyu Blitz, afu yule Vardy alikuwa phenomenal finishing sawa tu na Gabi Bastituta ๐Ÿ˜‚

How are you feeling? ๐Ÿ˜‚
As long na wewe Mganga mfawidhi wa Konami kutoka gamboshi unapoteza coin hakuna noma๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mjomba KONAMI ananisaidia sana
Atleast unapoteza na wewe sipo peke angu


Japo nyota yako mzee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Na hivi bio yako umeweka mwanza nina wasiwasi kama huendi kuspine ziwani sijui๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Atleast unapoteza na wewe sipo peke angu


Japo nyota yako mzee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Na hivi bio yako umeweka mwanza nina wasiwasi kama huendi kuspine ziwani sijui๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nilispin wakati napigwa na jua la asubuhi.. Nipo Mwanza sehemu hamna ziwa ๐Ÿ˜‚ kuliona ziwa mpaka nisafiri..๐Ÿ˜‚
 
Ili ukae kwa aman hapana mpaka nihakikishe nimekufunga umeamua kufuta game na hapo na mimi ndo nitafuta๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Simu nayotumia inanipotezea ladha ya game mkuu na mzuka unapungua kwa sababu sichezi kwa raha, nataka nianze kujifunza game upya ๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ