Ivi mkuu LBC na QC kuna utofauti sana...Upo vizuri kwa quick counter
Defensive instructions huwa nawapa Orchestor wangu wale wawili Guardiola na De jong maana nikawaacha hivi hivi nitakuwa mweupe nyumaUnampa defensive instructions safi tu
Quick counter beki zinapanda juu karibu mstari wa kati ili kupress kuanzia mbele ukicheza quick counter inabidi uwe na mabeki wenye speed above 82 la sivyo utalamba mchanga divison 1 ๐Ivi mkuu LBC na QC kuna utofauti sana...
Maana nimekuta mjadala sehemu kuwa mtu anayecheza Quick Counter Defensive line inawai kubreak tofauti na LBC na LB ambapo defensive inabakia solid...???
Mbona unanishawashi nimchukue Gasperini sasa๐Quick counter beki zinapanda juu karibu mstari wa kati ili kupress kuanzia mbele ukicheza quick counter inabidi uwe na mabeki wenye speed above 82 la sivyo utalamba mchanga divison 1 ๐
LBC ukipoteza mali mabeki wanarudi nyuma faster kumaintain defensive shape. Formation ipi bora inategemea na mtu mfano mimi naenjoy ku defend kuliko ku attack ndio maana nina mabeki wengi na defensive mid kukiko forwards (kabla sijaanza kucheza 343)
Amekuwa fundi mie aniache tu bado noob ๐Kuna namna selikavu anakokota mpira ๐ na jinsi anavyo time press mchezaji anayepokea pass. Pia jinsi anavyoziba nafasi๐. Anaelekea kuwa pro kilichobaki ni kupata squad kamili.
Nishasema hatuchezi ๐Sasa unanikimbia nani unataka nimuonee zaid yako humu ndani๐๐๐
Noob which ๐๐๐pro kabisa wewe Drogba mannguvu pre season kila siku ๐๐mchezaji mkubwa sana weweAmekuwa fundi mie aniache tu bado noob ๐
Saiv basi utashinda kaka๐๐Nishasema hatuchezi ๐
๐จ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐:Santos FC will announce their new player in the next 2hours ๐ดโ๐ป
Sileti timu ๐Babu vip unakimbiaje mechi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐จ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐:Santos FC will announce their new player in the next 2hours ๐ดโ๐ป
Medical tests completed, documents being prepared for Him to join and wear shirt number 9
HERE WE GO๐ณ
Ushakuwa yanga sasa na wewe๐คฃ๐คฃSileti timu ๐
Sasahivi najitahidi kupiga krosi bado hayo magoli tu ๐We si umesema hutaki magoli hayo๐๐๐
Omba sana Efootball wachelewe kunipa Kante na Tony AdamsSasahivi najitahidi kupiga krosi bado hayo magoli tu ๐
Aaah we michezo hiyo ๐Noob which ๐๐๐pro kabisa wewe Drogba mannguvu pre season kila siku ๐๐mchezaji mkubwa sana wewe
..
Leta timu uwanjani kaka๐
Wakupe mapema au wakucheleweshee nimekwambia HATUCHEZI ๐Omba sana Efootball wachelewe kunipa Kante na Tony Adams
Zaidi yao ๐Ushakuwa yanga sasa na wewe๐คฃ๐คฃ
Haha, kweli ngoja nikusanye coins ile acc haina kocha wa possession Xabi Alonso mi naona sio mzuri๐๐๐Mfumo wako ni Possession game mzee Quick counter tutasumbuana tuu