πππNitaleft lile group naona mmeshaona mbinu zangu za kuongeza kiwangoHuyu naanza kumuogopa anacheza friend match mpaka saa 8 usiku π
Msimtie woga mwachen acheze tuuπ€£π€£π€£Sio kawaida kugonga post kule π huyu humkamati tenaπ
Hilo nimeligundua usiku wa manane mkuu, Selikavu sitaki tena derby na wewe πSio kawaida kugonga post kule π huyu humkamati tenaπ
Sitaki tena πAah niliona umesimama nikajua net kwahiyo hata sikukabaπππ
Ila ingekuwa Razorblade mmngekuta 10 bilaπ€£π€£π€£
Hatuchezi ππππNitaleft lile group naona mmeshaona mbinu zangu za kuongeza kiwango
Mkuu huyo beki zake kaziweka karibu sana na kipa kama unasubiri mpaka usogee karibu ndo upige anakuwahi mapema, naweza fika ndani ya box lake hata mara 10 lakini kupiga sasa unakuta kashawahi na kupiga mashuti nje ya box bado najifunza πMi leo nimejaa kwenye mfumo wake π
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoliπ View attachment 3343145
Kuna namna selikavu anakokota mpira π na jinsi anavyo time press mchezaji anayepokea pass. Pia jinsi anavyoziba nafasiπ. Anaelekea kuwa pro kilichobaki ni kupata squad kamili.Hilo nimeligundua usiku wa manane mkuu, Selikavu sitaki tena derby na wewe π
Hapo bado hajamchukua OddoπMi leo nimejaa kwenye mfumo wake π
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoliπ View attachment 3343145
Babu vip unakimbiaje mechiπ€£π€£π€£Sitaki tena π
Mpka muongezee Ngo ππHatuchezi π
πππMfumo wako ni Possession game mzee Quick counter tutasumbuana tuuMi leo nimejaa kwenye mfumo wake π
View attachment 3343144
Mechi 2 sijaambulia kitu, leo beki zake zimekuwa ngumu mno kuzifungua kwa upande wangu. Nimewon kila kitu kasoro magoliπ View attachment 3343145
We si umesema hutaki magoli hayoπππMkuu huyo beki zake kaziweka karibu sana na kipa kama unasubiri mpaka usogee karibu ndo upige anakuwahi mapema, naweza fika ndani ya box lake hata mara 10 lakini kupiga sasa unakuta kashawahi na kupiga mashuti nje ya box bado najifunza π
Mbona naona kwenye dribble bado kabisa πππKuna namna selikavu anakokota mpira π na jinsi anavyo time press mchezaji anayepokea pass. Pia jinsi anavyoziba nafasiπ. Anaelekea kuwa pro kilichobaki ni kupata squad kamili.
Upo vizuri kwa quick counterMbona naona kwenye dribble bado kabisa πππ
Maana napoteza mno mali
Oddo sema offensive tuu ππangekuwa defensive kama kounde pale nyuma pangengojea Anchorman tuuHapo bado hajamchukua Oddoπ
Unampa defensive instructions safi tuOddo sema offensive tuu ππangekuwa defensive kama kounde pale nyuma pangengojea Anchorman tuu