Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Matokeo yaletwe kama kawaida πUje tupige ya kulalia mkuuπ Ubaya Ubwela
Pamoja.Mwezi ujao mkuu nitafanya hivo bado siku cache tuu.
alright acheche production tunakuletea Mr.....Na wewe anakufaa nani?
π
Me nipo na Razorblade mpka ateme nyongoπ€£π€£
Mr Devil π
Tupande kama vipi πUje tupige ya kulalia mkuuπ Ubaya Ubwela
Yule mwamba ana tambo balaa atamtia hasira mzee Neganπ€£π€£Nimecheka kifala π
Uanze kunihurumia sasa unanitesa sana πMe nipo na Razorblade mpka ateme nyongoπ€£π€£
Na akaikataa account yake πYule mwamba ana tambo balaa atamtia hasira mzee Neganπ€£π€£
Sema sasa ishu inakuja hamna watu active sana humu itachezeka kweli? Tunaochati kila siku tushakaririana labda atengeneze group Whatsapp liitwe kama humuSisi tunasubiri utuandalie ligi tu humu π
Kumbukumbu ninazo za kila kitu humuπππMzee unachimbua ππππ sema mi game za kukamiana siziwezi labda ujae mwenyewe kwenye mifumo tu
Itachezwa tu hata ikiwa ya watu 5 muda wetu unakuwa kuanzia saa 4.Sema sasa ishu inakuja hamna watu active sana humu itachezeka kweli? Tunaochati kila siku tushakaririana labda atengeneze group Whatsapp liitwe kama humu
Ngoja aje.Huyo Mr π π€£π€£
Eeh na mpira wako wa kupanga ni good opponent kabisa huyoMi aliona kabisa ile mechi nimempania nashangaa 2-2 zile blue bars zooote zikashuka haha
sema jamaa anacheza mpira wa kutafuta matokeo. Hana huruma.. ππ₯
Muasisi kafungua uzi 2023 umekuja kuchangamka 2025 kwakeel usimkatie mtu tamaaπ€£π€£π€£Kesho tupashe mkuu, Muasisi wa uzi huu
Me nimeingia ukiwa na pages kama sio 20 ni kumi naa...Uzi unatembea sana sasahivi kwenye trending za siku unaukuta, kongole kwake.
Nature yako mkuu ndo upo hivyo hata Edo kissy mtacheza basi tuu...