Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,882
- 12,255
Ukiita hivyo ataogopa tuipambe kidogo drone football ๐Aliniwekea full blue siku nikimpiga ataelewa maana ya haram football ๐
Ngoja. Nika muite๐๐Si umuite comrade wako ๐
Mi aliona kabisa ile mechi nimempania nashangaa 2-2 zile blue bars zooote zikashuka hahaHii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession game
Kutana na Mill broh mzee game imeanza tuu unawashiwa Full blue bars kwanza na possession game yako lazima ukimbie๐๐๐
Wahi usituchanganyie madawa humu ๐Ngoja. Nika muite๐๐
Kwa mill bro utashinda nyingi tuu๐๐ imagine upo nyuma goli tano na kuna full bars๐คฃ๐คฃ๐Duuh Hii ishu ya kukaa na mali na sishindi hata itabidi nianze kuiacha ๐ au nashinda sizidi 2
Derby haina huruma hiyo ndo nzuri ๐Mi aliona kabisa ile mechi nimempania nashangaa 2-2 zile blue bars zooote zikashuka haha
sema jamaa anacheza mpira wa kutafuta matokeo. Hana huruma.. ๐๐ฅ
Kesho tupashe mkuu, Muasisi wa uzi huu@yoyote nipeni ntakubari๐
Sema Denzila mtu poa bhana hana noma๐๐Huyo kazidi mkuu, walienda intergroup akapigika mwanzo wakawa wanamcheka ๐
Uzi unatembea sana sasahivi kwenye trending za siku unaukuta, kongole kwake.Kesho tupashe mkuu, Muasisi wa uzi huu
Basi iwe kama derby za azam na wakazi wa kariakoo ๐๐๐๐Lako na yeye ndo lina story nzuri๐คฃ๐คฃumeshapigika hapa unatafuta kulipa kisasi safi kabisa
Sisi tunasubiri utuandalie ligi tu humu ๐Japo sikiwashi๐๐๐ฎ
Uje tupige ya kulalia mkuu๐ Ubaya Ubwela