eFootball Special Thread

Hahaha mi napendekeza best of 3.. nitakaemuweza huyo huyo nitadeal nae 😄 🤣
Hakuna cha nini wala nini Mill bro na mimi nipo upande wake nimeshachagua🤣🤣🤣🤣


Shabiki yako mpaka sasa ushamjua🤣🤣
 
Sawa wakuu. NEGAN 😂 wamependekeza tuwe na derby aysee utakuwa unanifundisha kila siku naona
Negan tumepiga As where

Negan mtaleta heshima😃😃😃

Game zenu mpka ukatoa mawinga maana uliona unamnyanyasa hizo haziwezi kuwa Derby mnaoneana huruma


Mimi juzi Razorblade kaja na neti yake mbovu kidogo nimfunge hamsa🤣🤣🤣naona kabisa kasimama nakaba naenda kufunga

Yeye mwenyewe kashanipiga sita 😃😃

Namna hiyo...


Sasa mtu pekee ambaye atakuweza ni Mill broh🤣🤣
 
Baaasi huyo huyo Mill broh 😂 sema tayari ana bifu na Negan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…