eFootball Special Thread

Halafu katika moja ya magroup niliyonayo huwa naona jina la account yako(Myunani) likiomba friend match, namba yako haiishii 633?
Nilijua tu utaniona...

Hiyo link ulituma wewe Humu ndani na nilivyoingia nikasema humu Razorblade yupoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ nikaangalia pale username zilizopo nikakukosa nikasema okay atakuja tu kunisema jamii forum 🀣🀣🀣
 
Halafu huwa sisomi sms maana zinakuwa nyingi mno sasa jana nikasema ngoja leo nisome sms moja moja ndo nikakutana na sms zako πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣Hatumii Razor blade niliangalia jina lake la kule Efootball

Maana nalavyolilinda utazania free spine za konami🀣🀣
Jina lililopo kwenye game ndo nilikuwa natumia ila siku za hivi karibuni nilimuazima mtu kwahiyo nikalog out kwenye hiyo simu, nilivyorudishiwa wakati wa log in nikaweka jina lingine.
 
Hawajambandika vipigo vyake huko? πŸ˜‚
Hili group lake watu wana vikosi

Kuna jamaa katuma codee me m
Nikapita nayo kuingia game mzee ana 3222πŸ˜ƒπŸ™Œ nikasema guy guy huu si ni ubakaji sasa Mungu saidia akatoka room mwenyewe otherwise ilikuwa ni week nakula
 
Hahaha, kuna watu huwa wana dharau mno πŸ˜‚ akichungulia tu kikosi chako anatoka room anaona kama hautompa challenge..

Sema mi nilikuja kuingia magroup ya Whatsapp nikiwa kidogo nishaanza kujipata kwenye game ila hizo fedheha naziona sana mule kwenye magrupu πŸ˜‚
 
Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe πŸ˜‚
 
Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe πŸ˜‚
Hizo fedheha sio poa πŸ˜‚ unaanza na kufundishwa game hapo hapo 'kaza kaza game unajua mwanetu', 'jifunze kukaba', 'usipigepige mashuti tu', ' tunza coins uchukue kocha wa Quick' ...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wapo wengi sana mtu anaamini kikosi ndo kushindaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…