Kuna mtu katunza zote mpaka saivi hajaspin hata moja ππ ngoja tuone matusi ya KONAMI jumatano watakavolalamika πππLakini ulivumilia mpaka zifike 21 ndo uende kuspin imekiwaje siku chache tu zikushinde π
Wenzio huwa wanatanguliza kuomba hisani kwanza wewe unapanda dau hata kabla ya mwenye mali kufanya maamuzi πHii ukiingia na roho ya kuuza niuzieπππ
Anchorman wangu Sergio wa 105 aje yoyote yule anakalishwa
Nitafunga kwanzia babu mpka mjukuuGame halifutwi, account nitakuja mpatia kijana wangu π
Haha, mi huwa napoteza hata dakika 5+ pale kwenye kugusa gusa wale wachezaji πNi huzuni kwa kwel ongea na Guilberto vizuri
Dahπme nimeanza kucheza February kumbe ningwai wai ningempata ππHahaha huyo jamaa alikuja ile mwaka mpya, kuna zile spin ya bure nilipewa kuweka tu nashangaa mwamba huyo.. hapo kati mzuri sana naweza hata kucheza beki 3 hicho kikosi na mana hapo kati ni wa moto ππ₯
Hii account ni kali kuliko ile kwa maoni yanguView attachment 3342428
Nina account mbili, kuna hii acc niliianzisha January ina upepo mno kwenye kupata wachezaji. View attachment 3342430
Ila naona kama vile unanitega nifungue code za usajili πGame halitonoga nikicheza na weweπππ
Hii trick sijaitumia kabisa ila naona inafanya kazi...Haha, mi huwa napoteza hata dakika 5+ pale kwenye kugusa gusa wale wachezaji π
Haha, labda ungemkutaDahπme nimeanza kucheza February kumbe ningwai wai ningempata ππ
Kuna group nipe huko WhatsApp kuna jamaa free spin kapata watatu aisee.Kuna mtu katunza zote mpaka saivi hajaspin hata moja ππ ngoja tuone matusi ya KONAMI jumatano watakavolalamika πππ
Sasa wewe Whatsapp mbali Guilberto kapata watatuπππKuna group nipe huko WhatsApp kuna jamaa free spin kapata watatu aisee.
Haha, mi mwenyewe naona kabisa hii naenda kuifanya niizoee mana huwa nikiitumia kucheza events au friendly naenjoy mno..Hii account ni kali kuliko ile kwa maoni yangu
Hisani upewe kwa sergio wa 105 unadhani ni Amrabat huyoπ€£π€£π€£Wenzio huwa wanatanguliza kuomba hisani kwanza wewe unapanda dau hata kabla ya mwenye mali kufanya maamuzi π
Kwenye kuwagusa tu nahisi hadi huwa nawaumiza ila hawaji, hii ni bahati tu πHii trick sijaitumia kabisa ila naona inafanya kazi...
Ukigusa mchezaji kwenye spine haji.
Na wewe huwa unafanya hivyo??
Nishazifungua in corroboration with FabrizioIla naona kama vile unanitega nifungue code za usajili π
Wale watatu wa juu, Gabi, Owen na Berkampt huwa ndo na-deal nao sana nagusa hata mara 20 hivi π nikiingia pale kwenye all players na-rotate au na sort by position, value afu nawarudia tena wale wa juu..Hii trick sijaitumia kabisa ila naona inafanya kazi...
Ukigusa mchezaji kwenye spine haji.
Na wewe huwa unafanya hivyo??
Mchezaji ukimgusa ndo haji...Kwenye kuwagusa tu nahisi hadi huwa nawaumiza ila hawaji, hii ni bahati tu π
Nitajaribu hiiππWale watatu wa juu, Gabi, Owen na Berkampt huwa ndo na-deal nao sana nagusa hata mara 20 hivi π nikiingia pale kwenye all players na-rotate au na sort bay position, value afu nawarudia tena wale wa juu..
Ndo ulikuwa uchawi wangu
I seconded kali mnoπHii account ni kali kuliko ile kwa maoni yangu
Halafu katika moja ya magroup niliyonayo huwa naona jina la account yako(Myunani) likiomba friend match, namba yako haiishii 633?Sasa wewe Whatsapp mbali Guilberto kapata watatuπππ