eFootball Special Thread

Hapa wameniramba coins 200 kwaajili ya Kounde tu ๐Ÿ˜‚


Ila kwa siku ya leo sina baya na Konami maana wamefanya nifanikishe kupata selection booster za kutosha na kuwajaza wahitaji.



Na bado zimebaki booster kwaajili ya usajili mpya kutoka kwenye selection contract.


Je ni nani atasajiliwa kujiunga na kikosi cha Santos Fc?

Tuendelee kusubiri ๐Ÿ˜‚
 
Wewe ni Owen ukibadilika sana ni nakata๐Ÿ˜ƒ
 
Me ngoja niendelee na safari ya kutafuta 1500 nimchukue huyo kocha wa Ubelgiji...


NEGAN mkuu ukiipitia hiyo pack utanipa mrejesho ni pack nzuri ama niachane nayo...

Ina Anchorman pale mzee wa kazi Onana... Napia kadi ya KDB bado kuna card ya openda na Romelu Lakaka๐Ÿ˜ƒ
 
Mashuti ya Nakata nje ya box weka mbali na watoto๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ dizaini KONAMI wanawapendelea wachezaji wa ki JAPAN
 
Achana nayo subiri anchorman mzuri Tchouameni
 
Wewe matamanio yako ni kocha wa booster 2 tu hata wasingekuwepo hao uliowataja ๐Ÿ˜‚

Tafuta coins kwaajili ya kuimarisha kikosi kwanza achana na makocha ๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ