eFootball Special Thread

Weakness ya 4222 ni wide positions. Na hii formation yangu 3133 ina overload pembeni. Ukitaka kuifunga back 3 vizuri kaa na mali turn halafu uwe good passer.
Itanilazimu nishift kwenye possession game ..

Ndo maana Guilberto alikusumbua...

Hapa nina two options nije na striker mmoja ili nikufanye utanue pemben au nibaki na hii hii 4222 then nicheze possession game ..

Baadae nitaona
 
Note: Ukitanua uwanja na beki zako zinatanuka na kupanda juu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ƒ hiyo mechi itakua ya moto piga nikupige๐Ÿ™Œ
 
Kwa sasa mtu anaecheza back 3 na yule anayetumia mabeki wa tano nikikutana nae najua tu leo kushinda ni mbinde๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒila wengine wa back four wote tutabanana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ