eFootball Special Thread

NEGAN mkuu huu mfumo ndo ulikua una wasiwasi nao๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Eniwei back 3 inanisumbua sana asubuhi nilitaka nikuulize je back 3 unakabiliana nayo vip nikahairisha maana niliona nita expose weakness yangu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒsasa yametimia


 
Ile ni back four maan Tchoumen analud wanakua wanne๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Back 3 itanilazimu nicheze na striker mmoja baadae mkuu utakuja nijaribu kucheza kwa 4-1-2-3

Bila kuwa na wingers aah sitoboi hii
Nikikutana na mtu anatumia striker wawili na through ball nampa Tchou deepline ili adili na through ball๐Ÿ˜ƒ.
 
Strength yako ipo kwenye AMF. Mtu akiwaziwia wasitembee na mpira hutengenezi nafasi kabisa.
 
Weakness ya 4222 ni wide positions. Na hii formation yangu 3133 ina overload pembeni. Ukitaka kuifunga back 3 vizuri kaa na mali turn halafu uwe good passer.
 
Nikikutana na mtu anatumia striker wawili na through ball nampa Tchou deepline ili adili na through ball๐Ÿ˜ƒ.
yeah maana nilikuwa nikipiga nikassume hapa itawavuka nashangaa Tchou huyu hapa kakamata mali... Imagine through hazipiti na ndo unazitegemea...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒilikuwa kasheshe leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ