Kenge hasikii mpaka atoke damu😃Meamka asubuhi nikakutana na Epic ya akina Rumminnegga tamaa ikaniingia nikasema nijaribu bahati😴😴😴coin mia tano shwaaa
Hapa nipo naumia tuu...Kenge hasikii mpaka atoke damu😃
Rummenigge ni best CF in the gameHapa nipo naumia tuu...
Sema nimekutana na clip nyingi sana zinamsifia Rumminnega over Etto😃 nadhan hicho ndo chanzo
Kidonda cha kujitakia... 😂Meamka asubuhi nikakutana na Epic ya akina Rumminnegga tamaa ikaniingia nikasema nijaribu bahati😴😴😴coin mia tano shwaaa
Haya tafuta coins zingine ukazitupe tena, hutakiwi kuchoka 😂Hapa nipo naumia tuu...
Sema nimekutana na clip nyingi sana zinamsifia Rumminnega over Etto😃 nadhan hicho ndo chanzo
Nimechoma coin konami wamegoma kunipaRummenigge ni best CF in the game
Nipe pole basi😃😃😃Kidonda cha kujitakia... 😂
Bila kuchoka kwa heshima...Haya tafuta coins zingine ukazitupe tena, hutakiwi kuchoka 😂
Hapo utachoma hata simu mkuu ila kukupa huyo roboti ni kwa huruma yao tu 😂Nimechoma coin konami wamegoma kunipa
We tafuta coins zingine ukazitupe tena hazina uchungu hizo ni zao unawarudishia 😂Nipe pole basi😃😃😃
Mwenye nacho ataongezewa, kuna watu wanabahati nyie halafu utasikia anasema nimespin kwa coins 100 tu 😂Bila kuchoka kwa heshima...
Jay kombat😃😃
Hawataki kabisa hawa jamaaHapo utachoma hata simu mkuu ila kukupa huyo roboti ni kwa huruma yao tu 😂
Nilivyozilinda kwa uchungu😃😃We tafuta coins zingine ukazitupe tena hazina uchungu hizo ni zao unawarudishia 😂
Acha tuuMwenye nacho ataongezewa, kuna watu wanabahati nyie halafu utasikia anasema nimespin kwa coins 100 tu 😂
View attachment 3338942
Tatizo nyie hamtaki kuamini kuwa mie nitazilinda coins zangu mpaka ziwe nyingi halafu ndo nitaanza kuzitupa sasa 😂Nilivyozilinda kwa uchungu😃😃
Kumbe utakuja kuzitupa🤣🤣🤣aya me nimeanza sasaTatizo nyie hamtaki kuamini kuwa mie nitazilinda coins zangu mpaka ziwe nyingi halafu ndo nitaanza kuzitupa sasa 😂
Nitazitupa kwa faida wewe umezitupa kwa hasara 😂Kumbe utakuja kuzitupa🤣🤣🤣aya me nimeanza sasa
Najua hujacheza mpira mzuri ila umemuonyesha kuwa unaweza kumfunga 😂Yule jamaa aliyesema kwa mchezo wangu kuna mtu namfunga tumeenda leo baada ya kuondoa uchovu wote kuisha😃😃😃sijawaangusha leo
Cc Razorblade mpira mzuri😃😃😃
View attachment 3339056
Hilo ndo kubwa yeye ni nano asifunngwe😃😃😃✊Najua hujacheza mpira mzuri ila umemuonyesha kuwa unaweza kumfunga 😂