eFootball Special Thread

Kumbe akina mimi na Razorblade na wengine wanakuogopaπŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜ƒAlinikuta sipo form leo plus kichwa kinagonga silali muda mrefu siku hizi masaa mawili au matatu.. leo nataka nilale masaa nane saa tano nipo kitandani...

Kesho nikiamka tuu naamka nae....

Kanifanya nimegundua kuwa beckham hana One touch pass... Nilivyomtoa nikamuweka Bruno tumedraw game zoteπŸ˜ƒπŸ˜ƒ maana kanifunga game zote kwa ajili ya maboko kati πŸ˜ƒπŸ˜ƒkwa hiyo kesho nitamfunga ili kumuonesha kauli yake kuwa hakuwa sahihi

Now i stay humble
 
Nimemuelewa, ila mbona hafungi sasa.
Mkuu mie bado najifunza game na wala sina haraka ya kutafuta matokeo uwanjani nachotaka nicheze mpira ambao nitaufurahia na hata mpinzani nikimfunga iwe hivyo kwake.

Courtois ni mzito mahali kama hujampa instruction hajiongezi.
 
Nikikwambia jifunze mpira mzuri hutaki, huenda ni vile wote humu inaonekana hatujawa vizuri kwenye hili game πŸ˜‚
Ushawai ona Atletico wanavyocheza mkuu...πŸ˜ƒπŸ˜ƒme napenda mno..

Ndo mchezo wangu napenda nijue kukaba tuu basi...

Then tukutane uwanjani...

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kitandani unaingia saa 5 ila usingizi kuja saa 7πŸ˜‚
 
Nilienda friend na huyu jamaa jana aisee ni anakimbiza siyo poa, nilikuwa nachoka mie badala ya makatuni πŸ˜‚

Ila sikuwa mnyonge nilipata goli kwenye mechi zote tulizocheza, ila ameniongezea kitu cha muhimu sana(speed+accurate pass).

Ziada, hivi hizi chard ni za kipindi gani?

Zinavutia sana aisee.
 
Za 2021 hizo card legend huyu πŸ˜ƒ
 
Mkongwe huyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…