Nikianza kupiga nje ntakuua π
Kazi nzuri itabidi tufanye mpango wa Night Cup sasa πHii mechi ya kwanza bana πππ₯ dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi ππ
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars ππ₯ nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo
Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu ππ
Sema humu ndani siku hizi ukikaa hovyo mkono huoHii mechi ya kwanza bana πππ₯ dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi ππ
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars ππ₯ nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo
Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu ππ
Mkuu ile ni game plan niliyotengeneza na mechi zote nimetumia LBC πView attachment 3336586
Umuue nani...
Afu umejisahaulisha game za mwanzo tulizocheza na kikosi chakoππ
Umeona dawa ya Amrabat π€£π€£π€£
Hahaha tufanye hivoKazi nzuri itabidi tufanye mpango wa Night Cup sasa π
πππ₯Sema humu ndani siku hizi ukikaa hovyo mkono huoView attachment 3336588
Tutauana huko uwanjani πHahaha tufanye hivo
Kibonde wa hiyo ligi afukuzwe humu πTutauana huko uwanjani π
Tunakuombea banKibonde wa hiyo ligi afukuzwe humu π
Master NEGAN atanifundisha tu we kaa kwa kutulia, dawa yako imeanza kuchemka πWe kaa ukijua kuwa siku unasumbua na LBC possession game inakuongojeaπππ
Chini ya nafasi 1 mpaka 3 wanapewa ban ya siku 1 πKibonde wa hiyo ligi afukuzwe humu π
Binafsi nimejiona nakosa sana utulivu nikiwa uwanjani, ngoja nilifanyie kazi hili kwa siku 2 hizi nitakurudia πHakuna kitu unanitisha kaka sikai kwa kutulia na hakuna kitu utanifanyaπ€£π€£π€£
Alisikika marehemu πππ
Sawaa kaka aina nomaππBinafsi nimejiona nakosa sana utulivu nikiwa uwanjani, ngoja nilifanyie kazi hili kwa siku 2 hizi nitakurudia π
Wakati nahamia huku ulisemaje mkuuπ€£π€£π€£NEGAN umetaka nitumie 4-2-2-2 siku nyingi na sasa natangaza rasmi kutumia hii formation π
View attachment 3336592