Nakuambia hivi wewe umeisha mkuu bora nisingeijua hii formation πUmenisumbua kwa sababu bado nilikuwa na mentality ya possession game za before...
Kwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho πAfu kumbuka nimekosa sana magoli leoπ΄
ππKuna moja umepiga nje nilicheka sanaπ€£π€£π€£Kwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho π
Nataka nione maana mill broh nimemfunga kwa possession game nataka nione alitokaje na mwenye mchezo wakeHuo mstari wa mwisho ndo muhimu π
Katika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game π
Na niliipania mechi sikutaka kuwa mchovu kama zile 2 za mwanzo ππ₯ ilikuwa inaniuma unavyoyarudisha πHaina noma mtaalam sema ile come back. Aiseee kila nikizuia inashindikanaπ
Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuoneshaKatika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game π
Nilijaribu πππKuna moja umepiga nje nilicheka sanaπ€£π€£π€£
Taaratibu utakuwa mpiga nje weweππNilijaribu π
Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..Umekutanan na full bars blue πππ
Sitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuonesha
Nikianza kupiga nje ntakuua πTaaratibu utakuwa mpiga nje weweππ
Matokeo bila picha ni uzushi.Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 πππ₯
Nimetuma hahaMatokeo bila picha ni uzushi.
Eeh imekuaje tenaπππHamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 πππ₯
πππOkay sawa kakaSitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.