eFootball Special Thread

Selikavu kuwa makini kuna hatihati usinifunge tena baada ya leo, watoto wa afu 2 wanakusumbua kwa 4-2-2-2 ๐Ÿ˜‚
Hapana nilidharau game...

Ndo maana na mimi nikabadili kikosi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Game ya kwanza nimeangalia kikosi chako mpka nikahisi nimekosea room...

Game nzima najiuliza huyu jamaa kawaza nini

Ndo maana ukanisumbua...

Game ya pili nikasema okay acha tuweke kikosi B na sisi...

Shughuli ikaenda sawa
 
Game ya kwanza naweza kubali hilo ila game ya pili imekuwa tie sababu ya uzembe wangu na game ya tatu nilijaribu kutumia LBC kama kawaida mpaka dakika ya 78 ndo nikarudi kwenye QC ๐Ÿ˜‚.
 
Umenisumbua kwa sababu bado nilikuwa na mentality ya possession game za before...
 
Game ya kwanza naweza kubali hilo ila game ya pili imekuwa tie sababu ya uzembe wangu na game ya tatu nilijaribu kutumia LBC kama kawaida mpaka dakika ya 78 ndo nikarudi kwenye QC ๐Ÿ˜‚.
Afu kumbuka nimekosa sana magoli leo๐Ÿ˜ด
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ