Raha ya game unbalance ushinde na ufungwe piaππLeo sina mpango wa kucheza na wewe labda akosekane mtu, tukiingia room tunacheza mpaka tunajisahau kama kuna wengine wanataka friend match pia π
Nimempa leo torres striker instincts ππjiandaeMi huwa kuna baadhi ya wachezaji nawatoa nawapeleka reserve ila kuna huyu wakumuita Lewandorsk na booster lake linapanda na kushuka π
Sheria iwekwe mechi 2 tu πRaha ya game unbalance ushinde na ufungwe piaππ
Amrabat kipara πNimempa leo torres striker instincts ππjiandae
Kaka naomba dakika 10 tu nakurudia kuna ishu nachukua dukani narudiSi ulikuwa na 3105 kaka kimetokea niniππ
Sawaa kaka hakuna neno...Kaka naomba dakika 10 tu nakurudia kuna ishu nachukua dukani narudi
Tatu... πSheria iwekwe mechi 2 tu π
Huyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataonaππmaana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...Amrabat kipara π
Hatupo wenyewe humu πTatu... π
Nitajie timu kubwa ambayo bado inatumia hiyo tactic kwa zama hizi πHuyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataonaππmaana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...
Ndo maana nakomaa na Guilberto master of possession game nikijua basi wewe tukicheza njoo na LBC Yako nakuja nA Possession gameππalo weee..
Japo possession game ya kingese wachezaji hawafungui mbele wanafata mali ilipo nimekula chuma nne huko game ya kwanza
Picha baadaeππ
Pow mbili zinatosha ππila tatu unyama. Unashinda moja nashinda moja moja finalHatupo wenyewe humu π
Team ya Guilberto na Batistuta wake ππ(jokes)Nitajie timu kubwa ambayo bado inatumia hiyo tactic kwa zama hizi π
Afu yule kocha wa Possession sikuwa nimemtumia kama miezi minne saivi. Hizi wiki 2 hapa nimetokea kumpenda kila nikicheza hata nifungwe simtoi πHuyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataonaππmaana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...
Ndo maana nakomaa na Guilberto master of possession game nikijua basi wewe tukicheza njoo na LBC Yako nakuja nA Possession gameππalo weee..
Japo possession game ya kingese wachezaji hawafungui mbele wanafata mali ilipo nimekula chuma nne huko game ya kwanza
Picha baadaeππ
Bastituta finishing yake ππ₯Team ya Guilberto na Batistuta wake ππ(jokes)
Barcelona, city
Hiyo siyo guarantee kwamba ndo itakuwa hivyo, nikipoteza au ukipoteza zote 3 je?Pow mbili zinatosha ππila tatu unyama. Unashinda moja nashinda moja moja final
Me possession game kuna kitu ambacho ni tofauti na mifumo mingine nimekiona siku hizi ngapi ninapocheza na watu wengine...Afu yule kocha wa Possession sikuwa nimemtumia kama miezi minne saivi. Hizi wiki 2 hapa nimetokea kumpenda kila nikicheza hata nifungwe simtoi π
Si inakuwa umejaa kwenye mfumo πHiyo siyo guarantee kwamba ndo itakuwa hivyo, nikipoteza au ukipoteza zote 3 je?
π
Sawaa kaka ngoja niboost hizi dakika 15 chajiAh sawa. Hapa enyewe nilikuwa natype turudi