Mtajua uwanajani... Saiv pale kwenye base plan nakaribia kujaza zote zileHuu ni mfumo gani mkuu, eFootball league imekuharibu π
Usimtie moyo kwann afe tano mara mbiliπππUmepindua meza kibabe mkuuπ
Juzi ulimpiga zote jana kajitetea πUsimtie moyo kwann afe tano mara mbiliπππ
πππEeh formation ile inanisumbua kukaba,,,, natafuta mbadala wake mapemaJuzi ulimpiga zote jana kajitetea π
Baada ya mechi niko hoi πUmepindua meza kibabe mkuuπ
Hata simjui jina, nahisi anachezes ligi ya matajiri.Yupi huyo??
Mie ipo moja tu.Mtajua uwanajani... Saiv pale kwenye base plan nakaribia kujaza zote zile
Magoli nimekupa tu hayo, kwenye magoli matano kuna magoli manne ya boko πUsimtie moyo kwann afe tano mara mbiliπππ
Kwema kiongozi?Here we go again, ma jobless pro max π π€£
Mimi sio kiongozi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxKwema kiongozi?
Ndiyomaana nimeita kiongozi mkuu π€£, au rais siyo kiongozi?Mimi sio kiongozi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Kuwa direct kijana, hiyo kiongozi naweza onekana ni mjumbe wa Baraza la wachawiNdiyomaana nimeita kiongozi mkuu π€£, au rais siyo kiongozi?
ππKawaida kabisaBaada ya mechi niko hoi π
Inakusaidia kuchagua mfumo bila kuharibu kikosi..Mie ipo moja tu.
Kwani inaumuhimu?
Unataka unikamie sioππMagoli nimekupa tu hayo, kwenye magoli matano kuna magoli manne ya boko π
Narejea taratibu nikikaa sawa ipasavyo nitakubamiza kipigo ambacho kitabaki kwenye historia π
Kidumu chamaβHere we go again, ma jobless pro max π π€£
Aka Aikaeli Intelligent BusinessmanMimi sio kiongozi, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Huyu mwenyewe sana π