eFootball Special Thread

Selikavu inamaana kipa wako hana kazi nyingine zaidi ya kuokoa kila shuti nalopiga?

Inamaana magoli yako lazima nitoe boko?
๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒGame ya kwanza umetoa boko magoli manne๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒna hapo kuna maboko nimekosa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒGame ya kwanza umetoa boko magoli manne๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒna hapo kuna maboko nimekosa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Haya maboko imekuwa mtihani kwangu, mechi ya 3 maboko pia nikawa nikipoteza sikabi tena, kumfukuzia Owen ni kujidanganya ๐Ÿ˜‚
 
Wakuu ivi huyi Amrabat wa Razorblade anawasumbua kama Mimi anavyonisumbua au...

Maana kupita akiwepo ishakuwa kazi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Haya maboko imekuwa mtihani kwangu, mechi ya 3 maboko pia nikawa nikipoteza sikabi tena, kumfukuzia Owen ni kujidanganya ๐Ÿ˜‚
Shida yako nyingine ukishafungwa mbili ni kama unapoteana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒunatoka mchezoni kabisa maboko yanaanza
 
Aah deepline mzee muhimu mimi kwa sababu sina Anchorman De jong lazima ale Deepline ndo maana nacheza double Pivot
Ndo nilisahau sasa yani baada ya game ya 3 ndo nikaenda kuangalia, baada ya hapo Owen kapata tabu sana ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ