eFootball Special Thread

View attachment 3332154
Upo vizuri sema golini hufiki sana, jitahidi uwatumie vizuri winger wako kutoa cross.
Mkuu golini nafika ila nataka kutengeneza nafasi nyingi na kushinda nikiwa ndani ya box ndiyomaana shots kwangu zinakuwa chache.

Mfano ni aina ya magoli niliyoshinda mechi zote hizo.

Nilikutana na mtu anacheza huu mchezo anakufunga ndani ya box, nimeupenda na ndo naufanyia kazi.

Shukrani kwa feedback mkuu.
 
Nimekuja kwa kuchelewa kaka alafu nilikuwa na kiporo na jamaa mmoja hivi😃
Nimekutumia invite nikaona huingii room nikakuangalia tena nakukuta uko kwenye mechi.

NB: Nahitaji mechi nyingi na wewe za kirafiki ili nirejee (siyo za ushindani 😂), nipo vibaya sana.
 
Form is temporary but class is permanent class yako sio level yangu ata nikileta ujuaji😃😃bado ushaniacha
Sema jana nimependa sana unavyocheza mkuu sasahivi pira aviator halipo tena 😂, unatuliza mali chini tupishane.

Umeimprove sana mkuu.
 
Nime toka kuki chafua ps 4, Aston villa vs man city league.

Game one nili shinda 3-2, game 2 3-0 man city kapata 1 shot on target.
Haaland kafichwa
Mheshimiwa Aikaeli unafanya nini huku...


Afu ulikuwepo wap wakati mwanao Enuch anapiga😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…