Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,399
Kule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani ππ π Kule kila mtu ana mpira wake wa kutafutia matokeo asee π π₯
Dah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana π kila dakika nawaza clearKule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani π
Mtu anayecheza na smart assist ni kazi kumkaba we hujui tuπ umeziba njia zote vizuri mara AI inapiga pass ya juu ghafla π unataka kupiga tackle AI inamsaidia ku dribble kama Messi.Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bila kujali mpinzani atakuwaje.
Divison mpira kazi tu ukiremba unafungwaπDah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana π kila dakika nawaza clear
Leo sipo mtaani kaka nimekuja sehemu sijajua net. Yao ipo vip ngoja nijaribu PUBG nikiona iko fresh nakuchek twendeANYONE TUKABUTUE BUTUE π
Mwambie aache ubahili atoe buku 2 hiyoπWaungishe bhana πππ Guardiola mzuri yuleππ
Pole sana mkuuππ watu wa smart assist wanakusumbua mnoDvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Okay. Ngoja nifungue game hapa nakupa codeTuguse 2
Sawa mkuu. Ngoja nizame na NEGAN hapaLeo sipo mtaani kaka nimekuja sehemu sijajua net. Yao ipo vip ngoja nijaribu PUBG nikiona iko fresh nakuchek twende
Uzur magoli ya smart assist yanaonekanaππWabovu wengi ndo wanapenda ile ishu, mimi ikitokea nikafungwa hata goli 2 za smart assist naingia settings na mi naweka afu tuoneshane sasa π
πππWatu wamevurugwa mnoKule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani π
Me nimezima imenishindaπππMtu anayecheza na smart assist ni kazi kumkaba we hujui tuπ umeziba njia zote vizuri mara AI inapiga pass ya juu ghafla π unataka kupiga tackle AI inamsaidia ku dribble kama Messi.
Ilitakiwa wanotumia smart assist wacheze na wenzao wanaotumia smart assist
Mie nikitoka kule huwa naenda kucheza my league au events za AI kwanza πDah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana π kila dakika nawaza clear
Hawezi huyuπMwambie aache ubahili atoe buku 2 hiyoπ
Me ELeague ya Ai leo nimedraw game zote 10 hukoMie nikitoka kule huwa naenda kucheza my league au events za AI kwanza π