Hana speed ya kuwa wingerπView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
mzee wa through passView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
Hawa konami wana ubaguziππNishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea π
Spine kakaπ€£π€£π€£kama ipo ipo tuuDah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwishoπ
Haya komaa πDah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwishoπ
NEGAN anazo asilimia nyingi za kupata sababu amewaungisha sana ila wewe umewaungisha 2k mie ndo sijawaungisha kabisa πHawa konami wana ubaguziππ
Inasaidia sana kwenye finishing ππ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.Dvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Niko vibaya hapa mkuu, tutagusa kesho, tuombe uzima.Ndo naingia hivi mkuu, ule muda niliingia chandimu π₯΄
Kama upo twenzao tu
Sawa kaka βοΈNiko vibaya hapa mkuu, tutagusa kesho kukikucha salama.
Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hiziInasaidia sana kwenye finishing ππ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.
Piga harama football tu πDvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Ile smart assist wangefanya kuitoa tu, ladha ya game inapungua kila kitu kama vile wanacheza wenyewe tu.Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Dah asee mpira siuelewi kabisa bado sija master niki kutana na mtu anae tumia smart assist na pass assistInasaidia sana kwenye finishing ππ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.
Ndo kitu nachotaka kufanya maana naona ma picha picha uku napanda na kushuka π πMimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bila kujali mpinzani atakuwaje.Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Wabovu wengi ndo wanapenda ile ishu, mimi ikitokea nikafungwa hata goli 2 za smart assist naingia settings na mi naweka afu tuoneshane sasa πDah asee mpira siuelewi kabisa bado sija master niki kutana na mtu anae tumia smart assist na pass assist
π π Kule kila mtu ana mpira wake wa kutafutia matokeo asee π π₯Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bils kujali mpinzani atakuwaje.