Ahaha sawa mkuu, midaMe nipo kwenye hiace kaka niliingia kupiga penati tuuππ
Sawaa kakaAhaha sawa mkuu, mida
Ni njema tu sijui upande wako?Mishe zinaendaje?
Mkuu upo??Ahaha sawa mkuu, mida
Nimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa π΄afu holaππHata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu π
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa π
Familia kabisa me nimekussuport Nishazimalizaπ€£π€£Hata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu π
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa π
πndo naingiaMkuu upo??
Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena πNimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa π΄afu holaππ
Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt πNitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena π
Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari πFamilia kabisa me nimekussuport Nishazimalizaπ€£π€£View attachment 3329986
Mkuu hawa konami wako vizuri sana, hakuna trick ni bahati tu.Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt π
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Kwel kaka hakuna namnaππNitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena π
Kawapata wawili tena duhπ΄Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt π
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Tumwachie Negan..Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari π
Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea πTumwachie Negan..
Ila yeye atapata simu yake ya Japan sijui π€£π€£
Shusha username tutume request mkuuView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
Dah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwishoπNishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea π