EFD: Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza kuunga wa Dsm

EFD: Mgomo wa wafanyabiashara Mwanza kuunga wa Dsm

Nyamwaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
454
Reaction score
118
Leo asubuhi hapa jijini kuna mgomo wa kutofungua maduka yote hapa Mwanza na baadhi ya wafanya biashara wanadai kuwa watafunga kwa muda usio julikana.

Hili ni janga jingine kwa utawala huu wa Mafisadi , sasa kwa mtindo huu je uchumi wa Taifa unakuwa......?
 
Utakuwa maana watu watakuwa wananunua vitu vya local badala ya made in China
 
Mbeya ilishaanza toka jana , 10/ 2/ maduka yote maeneo ya sido ambako ndiko kuna biashara nyingi maduka hayakufunguliwa.
 
Nyamwaga mgomo wa awamu hii unahusu nini hasa? Tueleze mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mgomo huu inasemekana ni kutaka Kikwete atamke kuhusu hizo mashine za EFD. Na kwa kibuli alicho nacho anaenda Uk kujibu kwanini Kinana anaua Tembo wakati ni katibu mkuu wa chama cha mafisadi.
 
Igunga nako kumenuka asubuhi hii all the maduka yako closed! kwa ccm hii nchi tutaihama tu!
 
ni kwel mza kuna mgomo sijui mikoa mingine kama kgm,tbr n.k 2juzuzen
 
Pia Dodoma nao hapa mjini maduka yote yamefungwa pia wapo kwenye mgomo nao wa kugomea mashine za EFD.
 
pia Morogoro mjini kuna mgomo wa wafanya biashara
 
Nathibitisha habari hii, na hali ni tete kwa atakayefungua
 
Leo asubuhi hapa jijini kuna bonge la mgomo wa kutofungua maduka yote hapa mza na baadhi ya wafanya biashara wanadai kuwa watafunga kwa muda usio julikana. Hili ni janga jingine kwa utawala huu wa Mafisadi , sasa kwa mtindo huu je uchumi wa Taifa unakuwa......?

kwanza hongera sana kwa ushindi wa kishindo wa chopper 3 kwa kata 3..punguza jazba na kajeli za kitoto ukiwa mwenye akili timamu na kijana au mzee mwenye busara swala kama hili la wafanya biashara kugoma ilatakiwa kila mtanzania na mpokea huduma kutoka kwa hawa wafanyabiashara kulaani vikali kwa uwenda wazimu wanao kutufanyia sisi walaji na tumoiaji wa huduma wanazo toa,sijui kama wewe nikati ya hawa kundi la wezi na walanguzi wa pesa za watanzania..hawa wafanya biashara ni haki yao kununua na kuwa na hizo machine ili walipe kodi inayo stahili..wakati mwingine tuache ushabiki usio natija na kujifanya niwazalendo kumbe ni unafiki umetujaa mioyoni,tusimame na tutetee maslahi ya taifa
 
kuna tangazo la biashara la TRA..unapogomea kulipa kodi unasogeza matatizo mbele ili uje uumie baadae.Let us wait and c
 
kwanza hongera sana kwa ushindi wa kishindo wa chopper 3 kwa kata 3..punguza jazba na kajeli za kitoto ukiwa mwenye akili timamu na kijana au mzee mwenye busara swala kama hili la wafanya biashara kugoma ilatakiwa kila mtanzania na mpokea huduma kutoka kwa hawa wafanyabiashara kulaani vikali kwa uwenda wazimu wanao kutufanyia sisi walaji na tumoiaji wa huduma wanazo toa,sijui kama wewe nikati ya hawa kundi la wezi na walanguzi wa pesa za watanzania..hawa wafanya biashara ni haki yao kununua na kuwa na hizo machine ili walipe kodi inayo stahili..wakati mwingine tuache ushabiki usio natija na kujifanya niwazalendo kumbe ni unafiki umetujaa mioyoni,tusimame na tutetee maslahi ya taifa
we ni ofisa wa TRA nini? maana leo hutakusanya chochote....EFD inakusanya hela za kampeni za mwaka kesho. cheers wafanyabiashara!
 
Iko siku Wakulima nao watagoma Kuingia shambani,wakisusia mashine za "Power Tillers' na mbolea isiyo na ubora!

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
we ni ofisa wa TRA nini? maana leo hutakusanya chochote....EFD inakusanya hela za kampeni za mwaka kesho. cheers wafanyabiashara!

sikujua nabishana na mtu asiyekuwa na hoja..ndugu acha ushabiki na upambe kama wewe ni mtoto wakiume
 
Back
Top Bottom