kenethedmund
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 347
- 89
Niko Morogoro na huku maduka karibia yote yamefungwa nimezunguka nimeshindwa nunua kitu kabisa kila mahali yamefungwa
Leo asubuhi hapa jijini kuna mgomo wa kutofungua maduka yote hapa Mwanza na baadhi ya wafanya biashara wanadai kuwa watafunga kwa muda usio julikana.
Hili ni janga jingine kwa utawala huu wa Mafisadi , sasa kwa mtindo huu je uchumi wa Taifa unakuwa......?